wajingawatu
JF-Expert Member
- Jan 20, 2013
- 2,679
- 3,506
Kile ni kigari au mkangafu? Tafuta pesa mangi, kulia lia hakukusaidiiHapa nilipo naishi ugenini , ila nina kijigari changu ila mtoto wadada anakitumia , kikatili mno ila kiukweli mimi naumua mno .
Na kiukweli nimehama jimbo tu , nipunguze gharama za maisha.