Naombeni ushauri

Kutoa mimba haifai,hapo cha muhimu alee mimba mpaka mtoto atakapozaliwa na kumlea mwanae,
Yani hapo kujitenga na huyo mwanamke itakua ni ngumu sana coz watakua wamezaa tayari.
Na ndio maana nilitaka kupiga chini kila kitu kuanzia mama na huo ujauzito wake
 
Kwanza hongera sana kwa kuwa baba mtarajiwa.

Pili mwanaume halazimishi kupendwa,anza na Mungu familia,umefika final kwa kuwa baba kwenye hii dunia,uliyoyakuta hapa duniani sijui upendo,na kadhalika vinakuja ukiamua wewe mwenyewe.

Nazani ulikuwa hujui kama anampenda mtu mwingine,je mlianzaje dating?

Punguza hekaheka za cha kwenda kushtaki kwa wakwe gentlemen,utaomekana mdhaifu.

Usiichukie mimba,huijui hatma ya mtoto wako.Jifunze kumuimbia unapokuwa karibu na mimba,piga naye stori,mshtakie juu ya mama yake kimoyomoyo na anajua atamshauri nini mama yake,msomee vitabu na hayo yote ni pale utakapopata muda🦅
 
Sawaa mkuu
 
Hahahah daah hiyo yenu nayo kali sana
 
Hakuna sababu ya kumuita kijana kumkabidhi mimba,baki na binti yako mwenye mimba atakuja mwenyewe kama anataka,kuliko kumpeleka mtoto hasipopataka.
Acha tuu tena mama ndio anapiga simu nyingi hapa tangu anasumbua tuu
Hili ni la kuomba ushauri? Vijana siku hizi mnakwama wapi?? Uliona kabisa mwanamke hakupendi na ukaendelea kua nae!
Daah nilijua labda ni utoto tuu
 
Ww ni zuzu, maamuzi magumu haya hitaji ushauri na vikao Achana nae kabisa.
 
Unataka utendewe muujiza gani ndiyo uamini kwamba huyo binti hakupendi

Lazimisha kumuoa, akuzalie watoto 4 na wote unakuta wa Bwana wa Kiislamu

Achana naye, tafuta mwanamke mtakayependana lakini sio huyo
Na swala la ujauzito vp
 
Wewe na huyo binti acheni utoto.Anaonekana ana utoto na wewe unacheza ngoma zake, usiweke hisia mbele, acha mambo ya flow yenyewe.
Kamwe usijaribu kuwaza au kuingia kichwani kwa mtu, usimlazimishe aishi abadirike harakaharaka, give her space, cool down
 
Hahahah daah hiyo yenu nayo kali sana
Aibu namba moja,mtoto wa watu ahudumie mimba miezi Tisa then mtoto afanane na asiyehudumia😁,ndio maana hatukutaka kumpa mtoto wa mtu majukumu,

We Lea mimba hiyo kama una uwezo hudumia uwezavyo,mtoto akizaliwa utajua ukweli,usisikilize maneno ya watu humu,,,,imagine unanisusa mimba na mtoto anazaliwa copy yako,utaanzaje kwenda kusema ni mwanao?
 
Maisha yanaenda kasi sana,.

Mama anamtoa mwanae mimba na ni kitu cha kawaida,. Aisee hiyo familia ni ya kuogopwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…