Naombeni ushauri

hata huo ujamimba sio wako dogo, potea kabisa.....jamaa analishwa wewe unakula mwenyewe.....chagua mwenyewe moto wa gesi au petrol, upi tukuchome nao.?
 
Huyu manzi unaemzungumzia ndo yule ambae ulisema ni mtoto wa elf 2 alafu mzuri, ila anakuomba sana hela, alikuacha baada ya kuona unamnyima ela, ila baada ya miezi 3 akakurudia tena? Melancholic
 
Sasa hata mizagamuwano mlifanyaje kama ushirikiano ni zero au alikuwa anakucheki tuu!
 
Hili janga liliingia kwenye family yetu,


Ee jamani lisitutokee tena,,,

Uzuri sisis wenyewe tuna shida na watoto,hatukumuita kijana wa mtu kumkabidhi majukumu,,aisee mtoto amezaliwa beautiful girl rangi ya mtume, dimples hicho zuriii,

Uzuri mtoto kafanana na baba yake.
 
piga chini usigeuke nyuma ,vinginevyo utakuja kujuta maana lazima atakuacha hata kama ni baada ya miaka kadhaa, hata kama hataolewa na huyo jamaa. Usilazimishe kupenda
 
Mleta mada fuata huu ushauri,

Kumbe Mawardat umebadili user name.

Seran ephen_ Joanah
Nimejizuia kucomment kwenye huu uzi tokea asubuhi nilipousoma.
Mkasa wake umenikumbusha mimi kabisa.

Kuna watu kwenye uchumba hawafanyi kitu ila kwenye ndoa wanafanya kila kitu.

Ni kama slogan ya wanaume usimhudumie mwanamke asiye mke wako.
 
Huyu manzi unaemzungumzia ndo yule ambae ulisema ni mtoto wa elf 2 alafu mzuri, ila anakuomba sana hela, alikuacha baada ya kuona unamnyima ela, ila baada ya miezi 3 akakurudia tena? Melancholic
Sio huyo mkuu yule niliishacha mazima hii chuma ingine
 
Ilikuwaje mkuu huyo mwenye tatzo alikuwa nani hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…