NAOMBENI USHAURI

Hahaha boss ataichapa tu bwashee , akifika kesho atasahau tangazo
Kwa hatua waliyofikia, Boss ashindwe mwenyewe. Kinachouma unaweza kukuta manzi ana jamaa yake anampenda na kumjali kwa kila kitu! Ila kwa sababu amenunuliwa vinywaji na Boss, anaona ni sahihi kwenda kucheza kwenye giza na pia kuruhusu 'kushikwa shikwa'!!

Kwenye hili, kataa ndoa mnachukua pointi 3 za bure.
 
Acha kazi. Hiyo office ni ya kipumbavu inaongozwa na mpumbavua. I believe hakuna maslahi kihivyo hapo kama boss mwenyewe ndiyo yupo hivyo.
 
Hii iliwai Nikuta ingawa ilikua virse/versa.
Tumeenda party km hiyo sasa baada kumaliza kazi.
Tukaanz kazini changamsha kama kawa wine chap palepale story hao tukaenda town.
Boss wangu wa kike mmaza flani hivi kimodo kichwamaji.
Wine zile mzigoni kameanza kuyumba,mara paap kakanishika mkono balance,
Mi nikaunga hao had ukumbini tumekula badae dance likaanza.
Nikageuka bouncer wake aloo,
Mmaza chooni nimshikilie twende na kurudi wote.
Akiingia chooni nataka kungoja nje kinanivuta ndani nakingoja kinavua bikini kinakojoa daahπŸ€¦β€β™‚οΈ
Badae kinasema nikivue km mtoto,
Ikawa kazi.
Mida hapo ndo vibe staff wengine kila mtu lwake.
Mmaza kabaki anajua ataanguka akienda kucheza nikabaki nae.
Aloo huyo bosi-maza nashangaa kakaba piga denda mzee sikujivunga shika- nyonya vichuchu km za mtoto asee.
Papasa vitako vile nilikua navitamani muda tu.
Chezea yule bosi usiku ule kaloa chapa,
Tatizo staff sasa wanarudirudi mezani.
Mafichoni kwenye misofa gizani.
Dah ilibaki hivi ningekula mzigo.
Balaa likawa j3πŸ˜…πŸ€£πŸ€£πŸ€£
Boss mwingine chini yake mshua nae alikua amelewa chapachapa yaani nae ni kuanguka tu namzoa namkokota hadi kwenye gari hawajielewi nikamwambia dreva wapeleke hawa mwenyewe.
J3 tunaonana si kwa aibu ile,yaani wanakwepesha macho balaa.
Wakaona watateseka sana zengwe likaanza mpaka nikawaachia kazi yao.
 
Mnafanya kazi sehemu za hovyo sana.
 
Hahahaha kwa sisi millenial hilo gonjwa huwa tunaligwaya kinouma , pisi inaweza katisha ukivuta picha watu walivyo kuwa wanaisha , abdala kichwa wazi ana nywea fasta
Niliwah mshuhudia mgonjwa nikasema sifanyi tena mchezo mbaya ila tunasahau πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…