Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 3,180
- 4,554
Oa wote, ufaidiWakubwa kwema, Tafadhali naomba ushauri mimi ni kijana wa miaka 32 sijao ila nina mchumba ambaye tuna mpango wa kuoana mwaka huu na maali nimeishapeleka kwao.
Ni mwanamke ninayempenda ambaye nimekaa naye kwenye mahusiano takribani miaka mitatu ila kipindi nimeanza mahusiano nae tulisumbuana kidogo nikapata mwanamke nikaanzisha mahusiano.
Japo sikuwa na malengo naye kwa bahati mbaya au nzuri akashika ujauzito, ila kipindi hicho hicho nikarudiana na mpenzi wangu ambaye ninampango wa kumuoa,kutokana na umri kuwa umesogea na sina mtoto nikakubali uyo mwanamke azae ili nimtunze mtoto atakayezaliwa.
Mtoto kazaliwa wa kiume na nikawajibika kama baba kumtunza mpaka saivi ana umri wa mwaka mmoja.
Huyu mwanamke niliyezaa nae ni mtu wa nyumbani bukoba na mwanamke ninayetaka kumuoa ni mtu wa mbeya.Nafanya kazi serikalini na nimeishajenga nyumba morogoro maana ndo nimeamua kuweka maisha yangu.
Mwanamke ninayetaka kumuoa aligundua kuwa nimezaa na mwanamke mwingine tukagombana lakini akakubali kunisamehe na akasema amekubali kuishi na huyo mtoto.
Changamoto mwanamke ninayetaka kumuao saiv amezidisha wivu anakagua simu mara kwa mara na kunifatilia sana.
Changamoto nyingine mtoto amekuwa mkubwa inaniwia vigumu kumfanya mtoto wa nje ya ndoa pia huyu mwanamke ninaetaka kumuoa anataka aje kuishi na mdogo wake mwenye miaka 10 ambaye anasoma nimtunze.
Mimi kitu ambacho mimi kinaniwia kigumu nikifikilia nitunze watoto wa watu wakati wakwangu yupo nje,
na pia kuanza kutunza familia ya kwao wakati mimi malengo yangu ni kuoa mwanamke ambaye tutajenga Familia yetu kwanza wengine tukawapa kipaumbele baadae.
Kinachonisukuma kumuoa huyu mwanamke niliyechumbia ni mwanamke mwenye akili nyingi za maisha na kinachonizuia kumuoa mwanamke niliyezaa nae namuona ni mwana mke ambaye hana future.ila wazazi wake na ndugu wananishinikiza nimuoe kisa nimemmzalisha.Naomba ushauri wenu niko njia panda.
Ingawa mbeba maono ni mwanaume.
MWANAUME MWENZETU ANAOMBA USHAURI.🙏🏻
Kunywa Gongo mkuu nalipia hapa Kwa namba ya NIDA 🤣Anaakili kimaisha je anaweza kukusaidia kwenye majukumu??
Au ndo akili ya kimaisha kwamba mume tununue kochi au tv au kiwanja ingali yeye haingizi chochote (hela)
Umeshakua mtu mzima mambo yakuchaguliwa mke ilikua enzi zile fanya moyo wako unavopenda usije OA mtoto wa mtu ukampa mateso kisa ulifosiwa kumuoa
Wanaume wengi wakiona wanawake zao ni waongeaji sana kwenye mambo ya maendeleo wanaona hapa kapata weeeeeee ongea na vitendo mume tujenge uzio nje nusu ya hela hii hapaKunywa Gongo mkuu nalipia hapa Kwa namba ya NIDA 🤣
Mwanamke Yuko nyumbani tu hachomi hata chapati kibarazani amsaidie mume wake kujaza mfuko wa familia ila kisa tu anakwambia mume wangu nunua kabati la milango mitatu basi unabweteka unaona umepata mke mwenye Akili ya maendeleo 🤣
Umenipa kitu kipya mkuu huu mwaka 2026.Wanaume wengi wakiona wanawake zao ni waongeaji sana kwenye mambo ya maendeleo wanaona hapa kapata weeeeeee ongea na vitendo mume tujenge uzio nje nusu ya hela hii hapa
Mume hebu tufungue biashara ya kuku kijana awe anasimamia hela hii hapa
Maongezi mengi vitendo zero 😖 halafu unasema mke anaakili kimaisha
FUNGU LA KUKOSA navaa viatu vyako km ningekua wewe ndio mimi ningeoa alikubari kunivulia chupi hadi kuzaa na mimi halafu hilo shamba la miwa la shule ya kijiji lililopo nyuma ya shule ya kijiji ningeachana nalo kabisa, sababu anakulia timing tu huyo sio kwamba ana akili za maisha, huyo ambae unamuona hana future ndio wa kujitoa na kujenga nae future beba kapu tupu usibebe kapu lililojaa kila kituKinachonisukuma kumuoa huyu mwanamke niliyechumbia ni mwanamke mwenye akili nyingi za maisha na kinachonizuia kumuoa mwanamke niliyezaa nae namuona ni mwana mke ambaye hana future.ila wazazi wake na ndugu wananishinikiza nimuoe kisa nimemmzalisha.Naomba ushauri wenu niko njia panda.
Wenzako watakutoa nnje kwenye kikaoWanaume wengi wakiona wanawake zao ni waongeaji sana kwenye mambo ya maendeleo wanaona hapa kapata weeeeeee ongea na vitendo mume tujenge uzio nje nusu ya hela hii hapa
Mume hebu tufungue biashara ya kuku kijana awe anasimamia hela hii hapa
Maongezi mengi vitendo zero 😖 halafu unasema mke anaakili kimaisha
Mi kashaniudhi hapa wakati huwa nashauri tu ila pesa ndio sijawahi miliki🤦🏽♀️Wenzako watakutoa nnje kwenye kikao
Bora mmempa za uso wahusika wenyewe, mimi nikisema naonekana natia nongwa kwenye hilo Penzi kitovu cha Uzembe na Mjomba NgosweWanaume wengi wakiona wanawake zao ni waongeaji sana kwenye mambo ya maendeleo wanaona hapa kapata weeeeeee ongea na vitendo mume tujenge uzio nje nusu ya hela hii hapa
Mume hebu tufungue biashara ya kuku kijana awe anasimamia hela hii hapa
Maongezi mengi vitendo zero 😖 halafu unasema mke anaakili kimaisha
Na maandiko yanasema usimuache mke wa ujana wako isipokuwa kwa dhambi ya uzinzi..#ZIMA HISIA WASHA AKILI kuna jambo unatakiwa ulifikirie mwanamke mpaka anabeba ujauzito wako sio kitu cha kubeza bro jaribu kubeba viatu vya huyo binti sasa anyway kwa huyo binti mwingine mueleze ukweli pia mwanamke ataachana na wazazi wake na kuongozona na mumewe maandiko yamesema nukuu unahitaji mwanamke kwa ajili ya family uyo wa unasema ana akili ya maisha kuna siku akikuzidi kete kwisha habari utaleta ushuhuda wa nyuzi pia
Ivi umemuelewa aliposema wamewahi kutengana kwa muda kisha akarejea na masharti hayo mkuu vise versa is true wasomi wanasemaNa maandiko yanasema usimuache mke wa ujana wako isipokuwa kwa dhambi ya uzinzi..
Hajaoa bado hapo lakini ila huyo aliezaa nae ndie mke wake halali ila tamaa za huyo mwanamke mwingine ambae kiuhalisia amepangwa awe mchepuko wake yeye analazimisha amfanye awe mke wake, mwelekezeni vizuri huyu kijana kabla hajapotea kusikojulikana maana mtaka 2 na 7 hupatwa na mingi misiba, wewe unatakaje 2 halafu hapo hapo unataka 7?Na maandiko yanasema usimuache mke wa ujana wako isipokuwa kwa dhambi ya uzinzi..
Nimemuelewa, yeye achekeche tu kwanza bwana kwanini alienda kugawa mbegu na anafaham kuna mtu kampotezea muda miaka mi3Ivi umemuelewa aliposema wamewahi kutengana kwa muda kisha akarejea na masharti hayo mkuu vise versa is true wasomi wanasema