NAOMBENI USHAURI

Naombeni ushauri
Mimi ni kijana wa miaka 23 nipo na uhusiano na mdada wa miaka 32 ananionesha ananipenda ila mbaba wake Mimi ni mtumishi wa JWTZ yeye ni Askari police
Nataka kumuacha ila nashindwa sijui Ananifanyia dawa
Umesema ni 23 kwa 32,sivyo?Chukua hiyo 2 yako iliyo mwanzo uiweke mbele ya tatu itakuwa 32.Mtakuwa sawa bin sawia na shida imejifia yenyewe natural death! Hallelujah!
 
Naombeni ushauri
Mimi ni kijana wa miaka 23 nipo na uhusiano na mdada wa miaka 32 ananionesha ananipenda ila mbaba wake Mimi ni mtumishi wa JWTZ yeye ni Askari police
Nataka kumuacha ila nashindwa sijui Ananifanyia dawa
Apo fresh haina Madhara atakulea vizur
 
Mbaba wake mimi ni mtumishi wa JwTz kama ndiyo hivyo elimu ya Tanzania haiondoi ujinga bali inazidisha ujinga
Naombeni ushauri
Mimi ni kijana wa miaka 23 nipo na uhusiano na mdada wa miaka 32 ananionesha ananipenda ila mbaba wake Mimi ni mtumishi wa JWTZ yeye ni Askari police
Nataka kumuacha ila nashindwa sijui Ananifanyia dawa
 
Mim ni Mtumishi wa JWTZ na baba yangu ni Mkuu sehemu Fulani atanifanya nini
Hahahaha acha upuuzi, bado tu mpaka leo unalingia cheo na nafasi aliyopo baba yako? Sasa kama unadhani kwa cheo chako na nyadhifa ya baba yako hamna kitu unaweza fanywa mbona unakuja kutulalamikia humu kuhusu kusumbuliwa na huyo mdada?

Kwanini usitumie cheo chako na yadhifa alio nayo baba ako kuimaliza hio kero unayopitia mpaka uje kutuletea pigo za kijinga humu
 
Mkuuu umli wako wanasumbuliwa sana na mahusiano tafuta pesa acha uboya unatombewa unajua
 
Naombeni ushauri
Mimi ni kijana wa miaka 23 nipo na uhusiano na mdada wa miaka 32 ananionesha ananipenda ila mbaba wake Mimi ni mtumishi wa JWTZ yeye ni Askari police
Nataka kumuacha ila nashindwa sijui Ananifanyia dawa
Subiri utamuacha tu kwa maumivu makali sana zaidi ya unayofikiria kuyapitia kwa sasa...

Hatutakwambia kila kitu sisi, ila ulimwengu utakwambia kupitia patterns zake za maisha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…