gilldenu
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 2,914
- 3,021
Naishi na mwanaume, ila sasa shida ni pombe na akisha kunywa ni anagombana na kila mtu...
Zaidi sana ni mtu wa hasira mnoo
Ugomvi usio na kichwa wala miguu...
Ukikaa kimya una kiburi ukisema umjibu ndo moto unawaka zaidi, kilicho nichosha zaidi ni tabia yake ya kumwaga chakula pindi akikasirika..
Nimevumilia sana ila sasa nimefika mwisho naona niondoke tu maana unyanyasaji na ubaguzi vimezidi tuna watoto wawili hatuna ndoa wenye busara karibuni maana kisaikolojia sipo sawa nimeathirika mnoo

halafu jambo la kufurahisha hamna ndoa 