Naombeni ushauri

odamae

Senior Member
Nov 5, 2020
126
250
Inabidi nianze field j tatu lakini Nina stress sana naogopa kuharibu kazi za watu huko field nifanyeje alafu mood sina kabisa ya kufanya field.
 
Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
49,833
2,000
Pata sick note kutoka kwa daktari. Lakini unauhakika unasomea kitu unachopenda?
 
Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
49,833
2,000
Mi nasoma uhasibu.....ujue nn ni matatizo tu ninayopitia ndo yananifanya niwe na hali iyo ni mawazo
Mueleze daktari, kama umemaliza academic modules unaweza kuahirisha practical mpaka utakapokua tayari.
 
Quetzal

JF-Expert Member
Dec 9, 2018
5,844
2,000
Mkuu huyu mwanaume alikupa Nini?....dooh
Mungu akufanyie Wepesi umsahau
 
kikoozi

JF-Expert Member
Jun 24, 2015
1,530
2,000
Inabidi nianze field j tatu lakini Nina stress sana naogopa kuharibu kazi za watu huko field nifanyeje alafu mood sina kabisa ya kufanya field.....
chukua msokoto wa bangi, ukifika ulizia vyoo vipo wapi, piga paff mbili anza kazi, mchana piga paff mbili anza kazi, na boss mpe taarifa maana haikatazwi kwenye kuongeza mood ya kazi, kila laheri
 
PINC

JF-Expert Member
Jun 8, 2015
209
250
Mi nasoma uhasibu.....ujue nn ni matatizo tu ninayopitia ndo yananifanya niwe na hali iyo ni mawazo

Usikate tamaa kamwe,hayo ni mapito tu.
Vinginevyo usipende mteremko.Pambana uhakikishe unafika mpaka mwisho.
 
odamae

Senior Member
Nov 5, 2020
126
250
Mkuu huyu mwanaume alikupa Nini?....dooh
Mungu akufanyie Wepesi umsahau
Hamna alichonipa rafiki angu maisha nilopitia ujayajua bado Mimi nimeanza chuo t nimekuwa na furaha miez minne t badae wakanichanganya akili nimezunguka kwa waganga nimeombewa yan ungepitia nilopitia mm nazan ungeachaga chuo mda tu.
 
odamae

Senior Member
Nov 5, 2020
126
250
Hamna alichonipa rafiki angu maisha nilopitia ujayajua bado Mimi nimeanza chuo t nimekuwa na furaha miez minne t badae wakanichanganya akili nimezunguka kwa waganga nimeombewa yan ungepitia nilopitia mm nazan ungeachaga chuo mda tu.
So through that akili hadi Leo haiko poa sana ata mwili hauna nguvu kama mwanzo na hadi Leo sijui alonifanyia ivyo vituko na uyo mwanaum ni hao hao tu walonichanganya ndo walofanya...mi nimemwachia mungu tu
 
odamae

Senior Member
Nov 5, 2020
126
250
So through that akili hadi Leo haiko poa sana ata mwili hauna nguvu kama mwanzo na hadi Leo sijui alonifanyia ivyo vituko na uyo mwanaum ni hao hao tu walonichanganya ndo walofanya...mi nimemwachia mungu tu
Wametuachanisha ila haikuwa akili ya uyo mwanaume au Mimi coz mi alikuwa akirudi kazini namchukia tu bila sababu nikimfulia nguo zinakauka vizuri ila zinatoa halufu balaa yani kama hazijaoshwa.

Kuna siku niliomba mungu asiiangalie suruali yake ya kazini. Niliiosha nikaianika asubuhi akaenda kuichukua kwenye kamba yani suruali ilikuwa chafu sikuamini kilichotokea ujue sio kila mtu anapenda uoe au uolew isitoshe uyo mwanaum wangu amesoma sana ni wivu tu....
 
oldwine

Senior Member
Dec 30, 2020
116

Mkuu kuna thread nyingine ulielezea matatizo yako ndio unairefer au?

Maana sielewi flow...ghafla naona field mara mwanaume....
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom