Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,626
huo muda wa kumvulia mtu chupi..bora nimwagie mkaa wa moto huku chini,washezi sana aisee acha nilale wananitolea upako wangu wa churchMmmh aise ndo mana nachukia wanaume saa zingine....
huo muda wa kumvulia mtu chupi..bora nimwagie mkaa wa moto huku chini,washezi sana aisee acha nilale wananitolea upako wangu wa churchMmmh aise ndo mana nachukia wanaume saa zingine....
Mmmh aise ndo mana nachukia wanaume saa zingine....
Dahhh mwanamke mwingine Yuko kibra kuchinjwa/kutendwa. I hate you MEN but I can't avoid YOU.
Shogaake U sister Una mwisho wakendo maana wengine tumeamua kuwa watawa ewa kujitegemea
kwa sababu hawataki both kuondoka,wamege wote mpaka yule atakaeona hawezi ndoa ya mitala atajiondoa mwenyewe
Wakati mwingine chuki juu ya wanaume haisaidii. Huyu GF wa pili ni kitu kipi kilichompelekea hata akanasa ujauzito??
Unajua kipenzi, wadada huwa wanajisahau sana haswa wanapokaribishwa na kuishi kwa mwanaume. Kosa namba moja ambalo mdada wa watu atalijutia ni kuamua kunasa mimba na mtu ambaye hakuwa naye kwenye ndoa.
Mpenzi unazungumza kama vile huyo dada hiyo mimba kajidunga mwenyewe, wewe huoni kama mwanamme mwenzio alirukia mapenzi kwengine ingalli anampenda mpenzi wake wa mwanzo, huoni kama huyo dada watu anaumizwa kuwa hahusiki na matatizo yao lakini anaishia kuumia yeye na mtoto wake, huoni kama huyo jamaa hata akiamua kuishi nae hatokuwa na mapenzi ya kweli, huoni kuwa juu ya kuwa ni mzazi mwenzie lakini ana nia ya kumtosa kijijini ili achukue uhuru wake, huoni kuwa hana hata sense of guiltinesss maana tatizo alilokuja nalo ni kuwa mamamtoto kagoma kuondoka, huoni kama amedhalilisha wanawake kwa kuwapanga kama samaki.......@ watu8
nikiwa sina genye mapoint yanatoka kweli kweli wangu...mzima lakini wewe?
Nilikuwa na mchumba wangu wa siku nyingi,tukajuana tabia,tukaridhiana akanitambulisha kwao nikamtambulisha kwetu wazazi wetu waliridhia na kutuombea mema ili tujipange tuje tufunge ndoa. baadae tukaja kupishana na huyu mchumba wangu akanitamkia kuwa niwe huru nimtafute tu msichana mwingine.
wazazi wake wakadokezwa taflani ya mahusiano yetu wakamkalisha chini na kumwomba afikirie kabla ya kuchukua maamuzi.akasema nabaki na msimamo wangu. baada ya miezi kama miwili nikampata dada mmoja nikaingia nae kweny mahusiano na bahati nzuri hyu msichana akapata ujauzito bila ya kufunga ndoa.
Baadae yule msichana wa kwanza akaja kuniomba msamaha na ndugu zake wakanisihi sana kuwa tusiachane.kwa kweli nipata wakati mgumu sana kimawazo na ukweli msichana anabusara, hekima,mpole,na mwaminifu sana lakini nikasema itakuwaje na huyu msichana mwenye mimba?kabla sijafanya maamuzi nikawashirikisha wazazi wang ili wanipe ushauri.wazazi wakaniuliza mm mwenyewe nimemwona yupi ni bora zaidi ya hawa wawili? nikawajibu ni huyu wa kwanza hata kama tulipishana.nikapata wakati mgumu sana kumweleza dada mwenye ujauzito ambae baadae akajakujifungua mtoto wa kike.
Ili nimweke wazi msimamo wangu. ingawa nilijua nimemkosea sana.kama binadamu nilikiri makosa yangu kwake.nilipomweleza kwa mara ya kwanza akakataa akasema hataki kusikia hilo.kwa kweli iliniuma sana roho ya huruma ilinijia hasa baada ya kujua yeye hana makosa ingawa anamapungufu yake ingawa si sawa na ya yule wa kwanza ingawa wote wana mapungufu yao ya kibinadamu.
Lakini ndugu zangu ukweli toka nafsini mwangu nahitaji na nampenda zaidi na nataka kumwoa mwanamke yule wa kwanza kwani nilikaa nae nikamweleza kila kitu kilichotokea akasema yaliyopita si ndwele tugange yajao.kwa kuwa huyu mwenye mtoto alikuwa yupo nyumbani ili kuangalia ustawi wa mtoto sasa nataka nimrudishe kwao ili nitimize ndoto zangu za kuwa na mke wa nafsi yangu.mwanamke mwenye mtoto hataki kurudi nyumbani.nifanyeje?
Naombeni mawzo yenu yenye hekima ili amani ipatikane kwake na kwangu pia. WA SALAAM NDUGU ZANGU.
![]()
Hapo nilibold, nawaza kipuuzi tu,
Nina mashaka (ingawa sipendi iwe hivyo) kuwa huenda wewe ndo wale baadhi ya wanaume ambao wakisha oa na kuishi na wake zao, hawana la kusema, wanaburuzwa kama mazoba.
- Mwenzako alionyesha msimamo kwa maamuzi aliyoyafanya hata kama hayakuwa sahihi, iweje wewe unayetegemewa kuwa baba wa familia ukakosa msimamo na kuyumbishwa kirahisi hivi?
- Utaweza kweli kuilinda na kuitunza familia yako kwa matendo kama haya?
- Ukimkubali tena na yeye akaja kupata mwingine akaamua kukumwaga, utafanyaje?
- Maisha ya mwanao, umeyafikiria?
- Huyo mwanamke uliyempa mimba na kumzalisha akaolewe na nani?
- Uliharakisha nini kwenda kumpata mwingine?
Mwenzako alipoulizwa na wazazi wake alisema anabakia na msimamo wake, wewe je? Tafakari, chukua hatua!
kwa hiyo umeamuajekama najiona vile kwenye hiki kisa.
Nahofu mtoa uzi labda ni rafiki yangu ameamua kuweka jambo hili wazi kwa id mpya.
Jamani mie nahusika moja kwa moja na habari hii.
kwa hiyo umeamuaje