Naombeni ushauri wenu wakuu

Naombeni ushauri wenu wakuu

Brown Mduma

Senior Member
Joined
Sep 29, 2020
Posts
187
Reaction score
310
Nataka kufungua biashara ya library ya movie au kuchezesha magemu ps ipi nzuri apo ambayo itakuwa haina changamoto nyingi na itaniingizia at least 7000 kupanda kwa siku.
 
Hongera kwa uamuzi huo ili upate pesa lazima uweke pesa.

Mahitaji muhimu
1. PC aleast 1 Terabyte hard disk
2.router inayo support 4G.
3. 5000 unajiunga na madjs kama Mark au DJ Murphy kwenye group za WhatsApp hii unajiunga mara moja na kila wiki utatoa 2000 kupata miendelezo ya movies
3. Nunua chargers kwa kutoa huduma ya kuchaji simu.

Budget 500K inatosha.
Kwa siku kutoka na 15K ni kawaida sana.

NB : achana na PS utagombana na walimu au serikali za mitaa kwa wanafunzi wao.
 
Back
Top Bottom