gracious86
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 437
- 55
Hizi under 25 zina matatizo ziwe kike au kiume. Dada wewe una tatizo kubwa tu, tena umuombe radhi mzazi mwenzanko haraka sana hata kama hakupendi au humpendi ili uwe clean mbele za mwenyezi Mungu. Wanawake wenzangu kwanza mmesahau kumshirikisha Mungu kwenye mambo yenu, mmekuwa wababe hamuoni tofauti kati ya MME/MKE kila mtu ni kidume ndani ya nyumba.
Sasa wewe nakushauri, omba radhi haraka, na hilo jina ulilompa mtoto liweke kushoto mwambie mume wangu mtarajiwa naomba nisamehe shetani alipita humu kati kati toa jina kwa mtoto, ikiwezekana kama hajabatizwa chance that and with respect. Sijui kama unajua adha ya kulea mtoto peke yako! matatizo mnayowaingiza watoto wasio na hatia? kwa nini ulibeba huuo ujauzito kama ulijua hutaishi nae? Nani alikushauri kwamba wewe unaruhusiwa kutoa jina bila babake? Watch out my dear, hujui ugumu wa kulea mwenyewe!!!
Hizo elimu za chuo kikuu zisiiwape kiburi kwa mume sisi tunatakiwa kunyenyekea, na vizuri ukajua reaponsibilities zako na mipaka yake. Wewe siyo wa kutoa jina wala kwenu ni kwao na mume nafikiri hilo hukulijua! kwa sababu kosa umeshafanya ungama na mwambie mume naomba utoe jina na tusahau ya zamani tugange ya sasa. Hivi kwa akili yako ukimwacha huyo nani anakuoa na mzigo ulioubeba. Ni wanawake wachache wana bahati ya kuolewa wakiwa na watoto nje ya ndoa.
Cheza na bahati hiyo, uone cha moto. Acha ubabe, wewe ni mwanamke hata hizo NGO's zenu mnazoabudu eti zinawapa chance ya kuplay role as man You will never be a man till you die.
I wish you the best. Itapendeza kama ukirudi hapa umeshaomba radhi na uanatuelezea kwamba mwenzako anapiga simu na mnaongea vizuri.

asante kwa ushauri mzuri, tena kutoka kwa dada..
kweli ukipata mtoto nje ya ndoa ni bahati sana kuolewa. Pia mtoto ataathirika kiasi kwa kukosa uwepo wa mzazi mwingine..waulize watu waliokulia from single mothers watakwambia baadhi ya athari, weka degree pembeni kwenye masuala ya kijamii
Halafu unaonekana wewe dada ni mbabe sana kwa nini ulimpa jina mtoto ambalo baba yake halitaki ? Pengine anahisi mtoto ana baba mwingine aliyetoa jina. Sasa mimi nakuamuru ukae haraka na mzazi mwenzio mjadili matatizo yenu.
Sio kirahisi kihivyo kuna mtoto involves in this issue kwa hiyo unatakiwa kuwa makini. Kama unampenda mtafute mkae muongee, jina nini bwana badilisha mpe analotaka uone, labda kama alikuwa anatafuta njia ya kukuachakaribu sana kwenye jukwaa,na hongera kuwa na mtoto wako,wewe mpotezee,usijiumize kichwa bure,wanaume wengine ndivyo walivyo ingawa sio wote.endelea na mishuhuliko yako,huyohuyo m.me baadae anaweza akamtaka huyo mtoto.anakususia kisa jina,mbona haijaelekea,au hiyo kama ni sababu tu kwake?kwa kuwa mko mbali,uwezekano wa yeye kuwa na mwengine upo,kwake hiyo ni kama sababu,na ndio maana hata kuwasiliana na wewe hataki.usijali live your life,haijui thamani yako kwako.kwa kuwa yeye hakupigii,jikaze na wewe usimpigie
pole sista, bt ningeomba kuchukua nafasi kuwashauri wasichana wa vyuoni wasizae kabla ya ndoa bcoz unaweza ukaachwa na huyo aliyekupa mimba na akawa amekuwekea kama uzio maana wavulana wachache wako tayari kuoa binti aliye na mtoto. Pili wavulana wengine huona aibu kuoa binti mwenye mtoto wakimchukulia kama tayari kazeeka. Ushauri wangu kwako ni kwamba piga ua galagaza tayari umeishawekewa uzio so ni bora ukawa mpole kwa jamaa ili msonge mbele, ila ukijiona wewe ni gangwe wa maisha kisa una degree one day utaikumbuka hıi sms yangu. Umenielewa dada?