Naombeni ushauri wenu tafadhali

Naombeni ushauri wenu tafadhali

Joined
Jun 4, 2017
Posts
11
Reaction score
7
Hasa kwa wale wazoefu na simu za tecno, kuna simu ya tecno spark2 hii simu nimejaribu kuulizia maduka tofauti ya sehemu moja cha ajabu nmepata bei za aina tatu tofauti 230k, 250k, na 290k. nimejaribu kuwaulizia tecno wanadai bei elekezi ni 280k, knacho'click akilini mwangu either moja ni feki or zipo subtypes. hii kwenu inakaaje?
 
We chukua tu, Biashara huria sehemu nyingine umekutana na walanguzi labda,au watu waliozoea kuombwa punguzo pia sehemu walizochukulia mzigo pia.
 
Back
Top Bottom