Naombeni ushauri wandugu

asante mwali,
doctorz nashukuru kwa ushauri,
nkawa hawa watu wamekua wakiishi vizuri sana naweza kusema hata wewe ungebahatika kuwa nao karibu ungeitamani ndoa.....
mkulasabo kama nilivyoelezea walkua wakiheshimiana na kupendana mno yaani hata haya mengine ndo nimeyajua leo japo huyu ni dada yangu sikuwahi jua maisha yao ya ndani kwa kweli////////
sasa kujulikana huku ndo kumechafua hali ya hewa
 
embu rekebisha kauli yako daa angel sio ungemtwanga talaka ungeomba talaka na ni hiyari yake akupe au asikupe kama mimi ningekuwa mume wa huyo mdada nisingetoa talaka kwasababu hana udhibitisho kama nimetoka nje ya ndoa hii ndio tabu ya kuoa mwanamke aliekuzid kipato unakuwa hauna sauti kabisa ndani ya nyumba
swala si kipato ni kumheshimu mwenzin na wakutoa talaka hapo ni mke si mume
 
Pesa bwana peeesaaaaa!!!

Kuna mambo ambayo dada ako (Mama D) anapaswa afanye ambayo wadau hapo juu wameshasema :::
1) Kuruhusu "Hasira za Mwanzo" ziishe kabisa. Hapo zitabaki hasira za tukio tu
2) Kuongea na Mumewe. Hii haijalishi ana ushahidi wa video, picha au msg za mapenzi, yapaswa aongee nae tu.
3) Kupata ushauri wa watu wengine walio ktk ndoa imara na zenye muda mrefu.
4) Kuzingatia maisha ya mtoto kama ikitokea wameachana. Pls I beg you to THINK DEEP ABOUT our innocent child

Ila hili ni somo kwetu sote kuwa HUWEZ KUMTULIZA BINADAMU KWA PESA. Iwe mwanamke au mwanaume.

Lakin naanza kuhisi kuwa mapenzi yao hayakuwa na msingi mzuri tangu hata kabla ya ndoa. Nahisi mwanamke "alimpenda sana mwanaume" wakati mwanaume "alimtaka sana mwanamke".
Na isitoshe nahis mwanamke alijaribu kumtuliza, kumtengeneza na kumjenga mwanaume kwa pesa yake!!! Maana naona dalili zote za huyu jamaa kuwa na tabia hiz tangu zamani, ila ikawa inachezwa kamali ya CHANGE.

Nisiongee sana ila hili tatizo limenifundisha mengi mno. Ni ndoa ya Mr Perfect na Mrs Right.
 
ASANTE CPU,
hapo kwenye bluu nadhani ni sababu pia.......ndo maana from the very beginin shem akawa anajirusha nje....maskini sister hakujua kuwa yalkua maigizo na si mapenzi ya dhati!
 
Imagine huyo mdada wa watu alikuwa ndo kwaanza anampa jamaa vi-pocket money vya kwenda kujitutumua mara moja moja kwa small house! Unajua tena kuna besdei na anniversary (kuna coaligue wangu ana small house 10+ yrs sasa,anasema wanacelebrate annivessary yao kila mwaka, ni mke wa mtu na wamezaa mtoto wa mwisho intentionally)

Ahh, Mama D, muambie dada alie, akasirike na afanye anachojiskia ila asimguse that bastard asije akamuua. Afanye tu maamuzi kwa kufuata moyo wake. Kuachana is not that easy, ana excuse za kutosha sijui watoto, familia and the like. Lakini amlaze pema anapostahili huyo baba wakati akifikiria cha kumfanya
Basi, yametosha! enough is enough!
 
Mpe pole dada ako huyo, ila nampongeza kwa utulivu aliouonyesha mpaka sasa, kosa limekwisha fanyika na yeye amegundua, miaka 7 sio kitu cha mchezo hata siku moja, kuvunja ndoa sio suluhusho na watakao athirika ni wao watoto, kweli inauma sana ila kwa kuwa dada ako anaonekana ana busara basi amkalishe chini mumewe amkanye wao wawili tu na pia ajaribu kumweleza mathara ambayo yanaweza kutokea endapo ataendelea na tabia zake hizo mbovu naamini watafikia muafaka kama ni mwanaume mwelewa watayamaliza yakishindikana wao wawili ashirikishe wazazi, hatua ya kutalikiana ni hatua ya mwisho kabisa katika ndoa, sio lengo langu kumtetea huyo mwanaume kwani anachokifanya sio jambo jema ila watoto ni zaidi na matatizo kwenye ndoa hutokea na watu hukaa chini na kuyatatua kimya kimya.
 
Imagine huyo mdada wa watu alikuwa ndo kwaanza anampa jamaa vi-pocket money vya kwenda kujitutumua mara moja moja kwa small house! Unajua tena kuna besdei na anniversary (kuna coaligue wangu ana small house 10+ yrs sasa,anasema wanacelebrate annivessary yao kila mwaka, ni mke wa mtu na wamezaa mtoto wa mwisho intentionally)

Ahh, Mama D, muambie dada alie, akasirike na afanye anachojiskia ila asimguse that bastard asije akamuua. Afanye tu maamuzi kwa kufuata moyo wake. Kuachana is not that easy, ana excuse za kutosha sijui watoto, familia and the like. Lakini amlaze pema anapostahili huyo baba wakati akifikiria cha kumfanya

asante sana kwa ushauri King'asti,
mmmh hapo kwenye bluu jamani!! ndo maana watu wanauaga hivihivi
 
Mpe pole dada yako, kama walivyosema wengine asichukue uamuzi wa haraka ajipe muda kidogo wa kutafakari. Uzinzi katika ndoa ni jambo lililoshamiri sana tena sana, si kwa wanaume si wanawake maana ilikua inajulikana ni wanaume tu ndio wanatoka nje ya ndoa zao lakini kuishi kwingi huku nimeshuhudia wanawake wengi wanatoka nje ya ndoa zao na inatisha kwa kweli.

Dada yako pia ajiulize akishaachana na huyo mumewe yuko tayari kuishi mwenyewe bila mume? maana kuna wanawake wengine bila kuishi na bwana/mume ndani wanaona hawajakamilika. Kama yuko tayari kuishi bila mume anaweza akaachana na huyo mumewe lakini kama ndio wale wenzangu na mie kuolewa ni lazima namshauri atulie tu na huyo mumewe maana akisema aolewe tena anaweza kupata wa ajabu zaidi mpaka atakua anamkumbuka huyo mumewe.
 
Poleni sana. Hapo pagumu sana, lkn kitu cha msingi ni je wana watoto wangapi? Pia naomba kujua kwamba mwanaume akiulizwa anasemaje? Je anaonyesha kujutia aliyofanya au? Naomba hayo majibu ndipo nijaribu kutoa ushauri hapo.
pole zake..ila je ameshawahi kuongea nae na kumweleza kuhusu hiyo tabia yake..maana watu wengine wanafanya hivyo wakijua kwamba wenzao hawajui lakini wakigundua kwamba wenzao wameshashtukia tabia yao huwa wanaacha mara moja
 
Dunia duara mamangu, hawa watu hawabebeki jamani, yaani puuh.......! Mi sina ushauri hapa wanaume walishanichosha akili, hata ufanyeje ipo siku ataibuka na skendo tu, ausikilize moyo wake basi...
 
Hivi kwani ndoa imo kwenye list ya "Amri Kumi za Mungu"?

Ukiamua kumsamehe mwenzi wako kwa ku-do nje, basi jiandae pia kumsamehe kwa kukuletea magonjwa ya zinaa including AIDS!
 
Hivi kwani ndoa imo kwenye list ya "Amri Kumi za Mungu"?

Ukiamua kumsamehe mwenzi wako kwa ku-do nje, basi jiandae pia kumsamehe kwa kukuletea magonjwa ya zinaa including AIDS!

asante kwa ushauri ila hapo kwenye bluu sasa,,,,,,maana ndicho kinachotisha mno!
 
Mama D,

Naona umecopy and paste kwangu kabisa imenikumbusha machungu yangu.............................

Tena mambo mengine ni mabaya sana anakwambia hata ile pesa uliyonipa nimetumia na small hausi inauma................

Anaweza (Kwa ushauri wangu) waende wapime HIV/AIDS mara kwa mara halafu anapotezea kwa mbali asijali kabisa anajifanya yuko busy na mambo mengine kama uwezo huo anao aanzishe bar ila (yeye asinywe samahani kama ni mlokole) ili awe anapata muda wa kwenda hapo jioni kupiga hesabu na kuchelewa kurudi home.

Aakifika kachoka anafikia kuoga kula na kulala (haijalishi kama dada ndo kapika) unapunguza mapenzi na humjali kabisa bali unaongea nae vizuri tu wala humkasirikii lakini humjali kabisa apokee visimu simu vyake vimeseji unapotezea utaona mwenyewe atabadilika bila kuambiwa maana ukionyesha wivu ndo kabisa wanakuwa na viburi hawa viumbe ni kuwapotezea tu.............

Vitu vingine ni kujiumiza bure namlaumu na anafatilia mwanaume wa nini sasa??? Ulishawahi kuona Binadamu anachungwa huko ni kujipa BP sizizo na msingi kabisa aachane nae kumfatilia akirudi kesho sawa unamkaribisha na maji ya kuoga (Kama bado yuko home hajakwenda kwenye mihangaiko yake) chai unamwekea wala humuulizi alikuwa wapi tena na tabasamu la nguvu unampa na story za kufa mtu na kumchekesha na kumsimulia yalojiri jana eidha kazini au kwenye business.............uone kama atarudia
 
1.una uhakika dada yako anaibiwa??? Document si tatizo,mjinga mmoja anaweza kuforge akakuletea ili uvuruge ndoa yako. Pata ushahidi wa kutosha.

2. Eti?? Unasema hataki kumuuliza no no no. Hapo anamuhukumu kwa kumuonea, na anamnyima haki yake ya msingi na ya kikatiba(haki ya kujitetea).mwambie amuulize ampe ushahidi wote halafu acha ajitetee we vipi??

3. Kabla hajafanya action yoyote lazima kwanza zipite angalau wiki 2 hasira zote ziishe.

4. Mwisho, kama huyo mwanaume akikubali au akatae lakini kuachana haifai.....watu wanatafuta kuolewa yeye anatakakuacha??? Halafu kumbuka watu huolewa na wanadamu hivyo wanaume(ukiondoa wa jf) tukiwa kama wanadamu tuna madudu kibao.
 
Dunia duara mamangu, hawa watu hawabebeki jamani, yaani puuh.......! Mi sina ushauri hapa wanaume walishanichosha akili, hata ufanyeje ipo siku ataibuka na skendo tu, ausikilize moyo wake basi...

ahsante,umesema ukweli,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom