We unaishi pori gani kwani?
Kwa sasa unatumia aina gani ya simu?
Funguka vizuri kwani kuna aina nyingi nzuri ya simu tu haswa huku tunakoelekea ambayo sayansi inashika kazi ya ajabu. Hebu funguka na utujuze unatumia mtandao gani wa mawasiliano hapo ulipo!
Sim zuriiii kwa sasa ni:
Tecno 150000- chukua ya lain mojo ndo nzuri ina spead sanaaa kwey net 3GH, kulinganisha na ya lain 2, iko slowly sana.
2.-HUAWAY Tigo na Vda wanauza 195000. Wameziwekea pin code zina tumia mtandao mmoja 2. Ila dukan ni 210000-250000 unapata.
View attachment 128762
3 HTc-ni nzuri sanaa ila wanabei
nipo mkoani iringa, wilaya ya mufindi.