Naombeni ushauri wana jf

MPINGE

Member
Apr 20, 2013
43
4
Wana jf heri ya xmass, natumai mtakuwa mlisherehekea kwa amani na furaha, ninawombeni kwa aliye na uzoefu wa simu ya mkononi ambayo inaweza search net vizuri anijuze na pia anambie bei yake kwani ninayoitumia iko slow mno. Msaada wa ushauri tafadharini wana jf.
 
Kwa sasa unatumia aina gani ya simu?

Funguka vizuri kwani kuna aina nyingi nzuri ya simu tu haswa huku tunakoelekea ambayo sayansi inashika kazi ya ajabu. Hebu funguka na utujuze unatumia mtandao gani wa mawasiliano hapo ulipo!
 
aina ya simu ni nokia x2, mtandao ninaotumia ni voda.
 
Sim zuriiii kwa sasa ni:
Tecno 150000- chukua ya lain mojo ndo nzuri ina spead sanaaa kwey net 3GH, kulinganisha na ya lain 2, iko slowly sana.

2.-HUAWAY Tigo na Vda wanauza 195000. Wameziwekea pin code zina tumia mtandao mmoja 2. Ila dukan ni 210000-250000 unapata.
View attachment 128762

3 HTc-ni nzuri sanaa ila wanabei
 
ushauri wako nimeupokea na nitafanya ivo. Ahsanteni sana wana jf
 
nipo mkoani iringa, wilaya ya mufindi.

Inategemea Mufindi uko sehemu zipi. Tatizo laweza kuwa si simu bali ni mtandao (network) wa internet hapo ulipo uko chini. Mfano mimi nikiwa Njombe mjini, yako maeneo sipati mtandao wa internet kabisa ingawa mtandao wa simu unakuwepo. Kwahiyo kabla hujanunua simu nyingine jaribu kufika maeneo mengine ya Mufindi kama Mafinga uone efficiency ya simu ikoje. Ukiona ni vile vile basi ndo ufikiri kununua simu nyingine. Hata hivyo, hapo ulipo ni wewe pekee mwenye simu ya kutumia mtandao? Si uwaulize wenzako hapo ulipo? Nina iPhone 3G ambayo nimeitumia kwa muda sasa. Ukiona umekwama tuwasiliane naweza kuuzia.
 
Back
Top Bottom