Naombeni ushauri wana JF

Naombeni ushauri wana JF

The Zanzibar Echo

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2025
Posts
490
Reaction score
836
Mimi ni mwanafunzi wa shahada ya udaktar KCMC UNIVERSITY mwaka wa pili ni bado umri mdogo but najikuta nafatilia siasa mda mrefu kuliko fani yangu na roho inanilazimisha kutaka kukemea yanayofanywa na viongozi wa CCM especially nikiona maisha ya watoto wa kimasikin mitaan ninamo pita kila siku
 
Screenshot_20250602-174055.png
 
Mimi ni mwanafunzi wa shahada ya udaktar KCMC UNIVERSITY mwaka wa pili ni bado umri mdogo but najikuta nafatilia siasa mda mrefu kuliko fani yangu na roho inanilazimisha kutaka kukemea yanayofanywa na viongozi wa ccm especially nikiona maisha ya watoto wa kimasikin mitaan ninamo pita kila siku
Kamuulize Hamis Kigwangala anaweza kukushauri vizuri zaidi.
 
Hio ni call ya Mungu. nitafute pm. Pengine unaweza kua umechaguliwa (choosen one) kwa ajili ya kuokoa taifa hili.
 
Soma kwanza kijana, huku duniani utapakuta na sisi wenyeji wako tunakusubiri kwa ham sana
 
Kamwe usijafanye mkemeaji ukiwa bado chuoni maana ukigundulika Cha moto utakiona na chuo utakikosa.

Ni hayo tu kwa Leo.
 
Mimi ni mwanafunzi wa shahada ya udaktar KCMC UNIVERSITY mwaka wa pili ni bado umri mdogo but najikuta nafatilia siasa mda mrefu kuliko fani yangu na roho inanilazimisha kutaka kukemea yanayofanywa na viongozi wa ccm especially nikiona maisha ya watoto wa kimasikin mitaan ninamo pita kila siku

Jitahidi umalizie hiyo miaka mitatu ilobaki ili kama baadae ukiingia kwenye siasa uwe na elimu yako ya udaktari.

Kama una ndoto ya kuingia kwenye siasa unaweza ukaanza huko huko chuoni, gombea uraisi wa chuo nk ili ujijenge zaidi kwenye uongozi na siasa.

Jitahidi kupangilia muda wako vizuri hasa wa masomo na siasa au uongozi.

Ingia kwenye mfumo taratibu usiwe na papara, jifunze na omba sana uwe na hekima.

Kila la kheri.
 
Siasa achana nazo kwanza, soma ukimaliza ndo utachagua mbivu na mbichi
 
Acha chuo maana daktari tarajiwa haombagi ushauri wa kijinga hivi wao ndiyo hutoa ushauri kitaalam
 
Jitahidi umalizie hiyo miaka mitatu ilobaki ili kama baadae ukiingia kwenye siasa uwe na elimu yako ya udaktari.

Kama una ndoto ya kuingia kwenye siasa unaweza ukaanza huko huko chuoni, gombea uraisi wa chuo nk ili ujijenge zaidi kwenye uongozi na siasa.

Jitahidi kupangilia muda wako vizuri hasa wa masomo na siasa au uongozi.

Ingia kwenye mfumo taratibu usiwe na papara, jifunze na omba sana uwe na hekima.

Kila la kheri Asante sana mkuu kwa ushauri mwanana ubarikiwe
 
Back
Top Bottom