Mi nina wito sana wa kuwa nun ila baba yangu mzazi ni padre na hataki ajurikane kama yeye ndo baba yangu. Sasa nikituma maombi si lazima details zangu zote wazijue? Na je itakuwaje
labda mzee wake ni padri kutoka yale madhehebu wasiyoruhusiwa kuoa... deblabant.Why is your Father not proud of you🤔?!