Mkuu; Kama ajali ya kuteleza haikuwa kubwa uwezekano wa Hiatal hernia ni mdogo sana. Hata hivyo Hiatal hernia ikiwa ni ya kiwango kidogo haiwi na maumivu sana au haina maumivu kabisa na mara nyingi huisha yenyewe i.e. Tumbo hujirekebisha lenyewe..Lakini kama hernia ni ya kiwango kikubwa itahitaji upasuaji/surgery ili kurekebisha kwa kuivuta sehemu ya mfuko-tumbo (Stomach) iliyojipenyeza na kuingia juu ya kiwambo kinachotenganisha TUMBO na KIFUA (Diapragm) kupitia tundu asili llililopo kwenye Diaphragm pale inapopita njia ya chakula kuingia tumboni.Jibu
Kama maumivu hayo yanaambatana na mkandamizo kifuani katikati upo uwezekano una Gastric Hernia/hiatal hernia.
Na mara nyingi huusisha maumivu ya misuli ya moyo na mkandamizo wa kifua kuznzia kwenye misuli ya diaphragm.
Tiba asili ni bora naweza kukusaidia dawa.
Ajali na hernia havina uhusianao kabisa, kuhusu surgery ni mapendekezo yake ila sio jambo lakukimbilia.Mkuu ; Kama ajali ya kuteleza haikuwa kubwa uwezekano wa Hiatal hernia ni mdogo sana. Hata hivyo Hiatal hernia ikiwa ni ya kiwango kidogo haiwi na maumivu sana au haina maumivu kabisa na mara nyingi huisha yenyewe i.e. Tumbo hujirekebisha lenyewe..Lakini kama hernia ni ya kiwango kikubwa itahitaji upasuaji/surgery ili kurekebisha kwa kuivuta sehemu ya mfuko-tumbo (Stomach) iliyojipenyeza na kuingia juu ya kiwambo kinachotenganisha TUMBO na KIFUA (Diapragm) kupitia tundu asili llililopo kwenye Diaphragm pale inapopita njia ya chakula kuingia tumboni.
Mm nashauri afuatilie vipimo vingine kama walivyosema Wadau hapo juu - Maabara tofauti-tofauti na ahusishe pia na wataalam tofauti katika mahospitali mbalimbali.
Mkuu; nashukuru kwa angalizo. Ila labda nikuangalize kidogo na pia rejea visababishi vya Hernia.ajali na hernia havina uhusianao kabisa, kuhusu surgery ni mapendekezo yake ila sio jambo lakukimbilia.
Dalili zinaonyesha inawezekana ni hernia kwa kua maumivu yamekimbilia hadi kwenye moyo. Ndio maana madaktari wameanza kuhusisha na vidonda vya tumbo.
Rejea darasani utanielewa sana. UMUNYU tujuze zaidi pindi napokula chakula unajisikiaje? Juu ya hamu ya kula na kupata choo?
ipo kaziMkuu; nashukuru kwa angalizo. Ila labda nikuangalize kidogo na pia rejea visababishi vya Hernia.
Sasa ninamaliza mwaka nikitoa kinyeshi laini mithili ya kuharisha!Nikichelewa kula ninakuwa dhaifu mno!Tumbo linajaa sana gesiajali na hernia havina uhusianao kabisa, kuhusu surgery ni mapendekezo yake ila sio jambo lakukimbilia.
Dalili zinaonyesha inawezekana ni hernia kwa kua maumivu yamekimbilia hadi kwenye moyo. Ndio maana madaktari wameanza kuhusisha na vidonda vya tumbo.
Rejea darasani utanielewa sana. UMUNYU tujuze zaidi pindi napokula chakula unajisikiaje? Juu ya hamu ya kula na kupata choo?
Tumbo linajaa mithili ya puto!ajali na hernia havina uhusianao kabisa, kuhusu surgery ni mapendekezo yake ila sio jambo lakukimbilia.
Dalili zinaonyesha inawezekana ni hernia kwa kua maumivu yamekimbilia hadi kwenye moyo. Ndio maana madaktari wameanza kuhusisha na vidonda vya tumbo.
Rejea darasani utanielewa sana. UMUNYU tujuze zaidi pindi napokula chakula unajisikiaje? Juu ya hamu ya kula na kupata choo?
Maombi ndiyo yalianza lakini hakuna unafuuPima vipimo vingi zaidi.Kama ugonjwa utakuwa bado hauonekani basi tafuta sehemu yoyote ya maombi(ya kikristo) Watasaidia ku solve hilo tatizo chap.
Asante kwa ushauri nitaufanyia kaziNenda kàpige xray na ct scan hospital za kueleweka na wenye utaalam wa kuangalia x ray sawa sawa. Ni wazi tatizo lipo ilà watu wanazidiana utaalamu hasa kwenye xray
hernia kaka pm for mo aidTumbo linajaa mithili ya puto!
Asante kwa ushauriAcha kula vinywaji vyenye baridi