Gustavo Gaviria
JF-Expert Member
- Nov 19, 2018
- 630
- 1,109
Hiyo unayoiongelea ni ya mwaka 2016, zipo za mwaka 2018 ila wameziadvance vitu vingi ikiwemo na storage.
Naunga mkono hoja!.............Hatojuta,tatizo Watanzania kununua kitu ambacho hajaona bango lake pale Agrey Str au barabara ya Uhuru wanaona kama wanapoteza ila wakishanunua ma-refurbished ndo akili zinawakaa sawa.
Sent using Redmi Note 5
kuna samsung j6 ni nzuri 400kHiyo unayoiongelea ni ya mwaka 2016, zipo za mwaka 2018 ila wameziadvance vitu vingi ikiwemo na storage.
5.1 plus nnayo ila najutia siwez eka double line + memory cardChukua nokia 3,3.1 au 5 or 5.1
Ni nzuri