kancarl
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 1,361
- 821
Mkuu haina spec za mate 20 pro wala specs. Ni nzur lakin sio kulinganisha ata na s9Samsung galaxy j6 2018
Au samsunggalaxy s6
Au
Iphone 6
Au
oppo find
Inshort ni una otion nyingi
Au tafta laki6.5 ununue xiomi pocophone f1 ambayo ni the best budget phone 2018 yenye spects za s9 au huawei mate 20 pro
Mkuu haina spec za mate 20 pro wala specs. Ni nzur lakin sio kulinganisha ata na s9
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo umenena kidogoYeah kwel
Nachosema ni kulinganisha speed hata mapambano
S9 na pocophone ni qlmost the same kasoro sehem ndogondogo
Kingine ni ufinyu wa bei
Huwez pata sim ya vile kwa bei ile
Ni hyo inayofata ni oneplus 6T, though oneplus 6T ni high end phone
Mate pro is the beast but bei yake ni kubwa sana na kuna mapambano inayopambanishwa na poco f1
Huwez kuta mtu analinganisha au kupambanisha infinix au vitecno na iphone XS au mate 20 pro
Zanzibar bei nzuri ila mimi nataka note 4 sio kwa sasa ila na planning ya kununuaUkiitaka mimi tarehe 20 naletewa kwa laki 4 tu
Unguja used inauzwa 500k hujapatana hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Camon x sio mbaya ila haifikii uwezo wa galaxy note 4 ambayo kwa sasa ina miaka 4 but still more quality & batter than any tecno.Bei kwa sasa ni Sawa sasa si bora uchukue galaxykanunue tecno camon x au camon cm gb32 iwe nyeupe au gold hutajuta halafu uweke cover ya auto focus nyeusi...
Sent using Jamii Forums mobile app
uzuri wa hii galaxy ni amoled tu lakin hii tecno ni ya kisasa ram yakutosha version latest very slim...Camon x sio mbaya ila haifikii uwezo wa galaxy note 4 ambayo kwa sasa ina miaka 4 but still more quality & batter than any tecno.Bei kwa sasa ni Sawa sasa si bora uchukue galaxy
Sent using Jamii Forums mobile app
mi mwenyew natumia samsung ila kwa budget alotoa jamaa bora achukue tecno tu...NEW Nytemare Acha kumpoteza kijana mwenzako mkuu,wewe una kibanzi machoni unataka kumtia jamaa boriti aisee?
Simu Tecno ikishazidi 80K hiyo siyo ya kununua bora mtu akanunua kitochi 40K akaongeza hela akanunua simu nzuri baadae.
Sent using Redmi Note 5
NEW Nytemare Acha kumpoteza kijana mwenzako mkuu,wewe una kibanzi machoni unataka kumtia jamaa boriti aisee?
Simu Tecno ikishazidi 80K hiyo siyo ya kununua bora mtu akanunua kitochi 40K akaongeza hela akanunua simu nzuri baadae.
Sent using Redmi Note 5
Note 4 inatumia android marshmallow inafanya kazi vizuri camera yake ina record video hadi 4k nyuma na mbele ina qhd super Amoled display,camera yake ina feature nyingi kuliko hiyo tecno,inatumia fast charge asilimia 50 kwa nusu saa,ina s pen yenye uwezo wakufanya kazi kama mouse ya computer na feature nyingi zaidi kwenye s pen. Inatumia processor bora ya Samsung exynos au snapdragon ambapo tecno inatumia mediatek, kioo chake kina protection ya gorilla glass 4 sifa ni nyingi ingia gsm arena google uone mwenyewe na usome maoni ya watu uone inavyokubalika japo ina miaka 4.uzuri wa hii galaxy ni amoled tu lakin hii tecno ni ya kisasa ram yakutosha version latest very slim...
Sent using Jamii Forums mobile app
Nunua Samsung Galaxy J5, hutokuja jutia maishani mwako.Hello members naombeni ushauri wa kupata simu nzuri....Bajeti yangu ni laki nne, Hijalishi simu itakuwa pungufu ya hio bajeti,
Naombeni ushauri please
ni simu nzuri sana ila budget ya jamaa ni 400Note 4 inatumia android marshmallow inafanya kazi vizuri camera yake ina record video hadi 4k nyuma na mbele ina qhd super Amoled display,camera yake ina feature nyingi kuliko hiyo tecno,inatumia fast charge asilimia 50 kwa nusu saa,ina s pen yenye uwezo wakufanya kazi kama mouse ya computer na feature nyingi zaidi kwenye s pen. Inatumia processor bora ya Samsung exynos au snapdragon ambapo tecno inatumia mediatek, kioo chake kina protection ya gorilla glass 4 sifa ni nyingi ingia gsm arena google uone mwenyewe na usome maoni ya watu uone inavyokubalika japo ina miaka 4.
Sent using Jamii Forums mobile app
hapa atapata j5ooh ambayo ni 370kNunua Samsung Galaxy J5, hutokuja jutia maishani mwako.
Ila still ni simu nzuri tu.
ni nzuri ila storahe ni 8gbIla still ni simu nzuri tu.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji109]Chukua nokia 3,3.1 au 5 or 5.1
Ni nzuri