Nimenunua simu mpya ila inajizima yenyewe kila muda, shida nini?

chakula cha watoto

JF-Expert Member
Apr 25, 2023
462
974
Wakuu naandika haraka nipate majibu maana nimeletewa simu Mpya infinix hot 30 play Kwa laki Tatu na ishirini. Sasa Ile nimemaliza kuweka information zote maana ni simu Mpya ila ajabu unaweza ukawa unachat, kuangalia vitu vingine ghafra tu inajizima halafu inarudi mwanzo khabisaaa kama Mpya tu tena unaanza kujirejista upya

Imejizima hii ni mara ya nne Sasa, nimefanya setting zote Wapi, mpaka kwenye system ya schedule power on na off zote nimeweka Sawa lakini inajizima tu

Naombeni ujuzi mbaya zaidi mwamba anataka pesa yake nawakati simu bovu

Japo ni Mpya imeletwa ikiwa kwenye box tumefunguwa vzr tu
 
Pole sana. Mzee unatoa 350k kununua infinix?

Jaribu kureset kwanza. Baada ya hapo kama inarudia rudia na ipo under warranty rudisha dukani
 
Wakuu naandika haraka nipate majibu maana nimeletewa simu Mpya infinix hot 30 play Kwa laki Tatu na ishirini. Sasa Ile nimemaliza kuweka information zote maana ni simu Mpya ila ajabu unaweza ukawa unachat, kuangalia vitu vingine ghafra tu inajizima halafu inarudi mwanzo khabisaaa kama Mpya tu tena unaanza kujirejista upya

Imejizima hii ni mara ya nne Sasa, nimefanya setting zote Wapi, mpaka kwenye system ya schedule power on na off zote nimeweka Sawa lakini inajizima tu
Naombeni ujuzi mbaya zaidi mwamba anataka pesa yake nawakati simu bovu

Japo ni Mpya imeletwa ikiwa kwenye box tumefunguwa vzr tu
Kama ipo demo mode hivi. Kuna simu special ambazo zimetengenezwa kazi yake zinakaa madukani kuonesha wateja, zenyewe kila baada ya muda zinajiformat ili isiwe na data, mteja mpya akija akute haina kitu.

Ushauri rudisha hio simu wakupe nyengine usihangaike nayo.
 
Hamna simu hapo
 
Poa kaka
 
Ila simu Mpya kabisa hata hivyo nimemwagiza rafiki angu Kwa pesa yake akija nimrudishie Sasa hapa tumekamatana anataka pesa yake nimpe aweke mfukoni ndomengine yafate
 
Back
Top Bottom