Naombeni ushauri wa kumpa huyu jamaa yangu.

Naombeni ushauri wa kumpa huyu jamaa yangu.

Mmmh... Kuna watu wanapenda kushauriwa hata pasipo hitaji ushauri..!
 
Maamuzi ni rahisi sana; aondoe wote karibu na macho yake. Hizo na uhitaji zaidi ni mbwembwe za kuleteana magonjwa.
 
hi. anatakiwa akae na mpenzi wake waongee vzur ackurupuke ktk maamuz pia na huyo jamaa aliyemkaribisha ndani. ni vzur kuongea nao kwa ustaarabu
 
hapo me naogopa kuttoa ushauri naweza kuja kukamatwa bureee
 
awaweke kwenye mabano halafu azidishe kwa 0....

ha ha ha ha haaaaaa kweli umenivunja mbavu zangu jamani. ha ha hahaaaaaa

ikipita wk siajingia jf naumwa sbb ya watu km nyie
 
aisee hii si sawa. fedheha hiyo kisa unalipiwa 80% ya mahitaji yako ndo atulie timua jamaa na demu mpe makavu ili waendelee vizuri kwani huyo ni mke useme umeoa. akizubaa jamaa akichoka kwa demu wake anaweza hamia kwake akaomba mzigo ha ha ha .


me naamini kama mwanaume unaakili timamu uwezi kubali kudhalilika kisa pesa huna.
 
Mwambie jamaa avumilie tu ila atafute demu mwingine kwani asigombane na rafiki yake kisa demu unaweza kuta demu ndo kamtongoza msera kwa ishara au sm jamaa akaze moyo atafute pesa tu mademu wapo wengi.Note uskubali kugombana na Rafiki kisa demu siku zote msichana huwa ndo mchonganishi
 
Mkuu Crucial Man sijaona effect ya like yako huku...hahahhaaa. anyway nimtakie kila la kheri jamaa yako katika maamuzi yake

mkuu kwa jinsi ulivyo tiririka naomba nikupe like...jamaa wametoka mbali na msoteaji ndie alie mpigia simu jamaa yake kuna nafasi za fani yake zimetangazwag.na kweli akafanikiwa kupata,.mwanamke mwenyewe sio mchumba wala nini..ni wa kupozea tu though jamaa yangu kafika..si unajua tena mteremko ukizingatia bado hajapata job...ushauri wako ni mzuri sana.
 
Wakuu nimetoka job...jamaa yangu kaja kuniuliza ushauri wangu kama nilivyompromice..nilichofanya nimemfungulia hii thread na kumwambia asome comments zote..baada ya kusoma nimemuambia nchukua ushauri unaokufaa..wamechangia almost twenty members...so kazi ni kwake..ASANTE SANA WANA MMU...we are here kujadili changamoto zinazo tukabili katika maisha yetu.we are not here to kebehi,kashfu au kibyeda.
 
Atafute pesa.....aache kulialia....watu wana njaa sasa hivi!!!!!
 
ahaaa nimecheka sana...na yeye si ampe demu wake mtaji jamani
 
Smile ampe nini wakati yeye mwenyewe 80% anapewa na anaemdhania mwizi wake.
 
Last edited by a moderator:
Mwambie amtimue na huyo Demu aachanenaye pia, maana binadamu tunajisahau sana,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom