Naombeni ushauri wa kumpa huyu jamaa yangu.

Crucial Man

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2011
Posts
3,404
Reaction score
1,312
Kwanza naomba niweke wazi kwamba natumia kasimu ka mchini,so mambo ya paragraphs msiyajali sana...crucial man mamsup mtarajiwa kanichanganya naamua kwenda kupata mbili tatu baridi joint fulani hivi...narudi home around mid night nasikia mlango unagongwa..kufungua ni jamaa yangu wa karibu ambae amekuja kusotea kazi (i mean kutafuta kazi mining sector ) ...namuuliza kulikoni mwenzangu? ..jamaa yangu ana nyumba aliyoachiwa na kaka yake ambaye ameacha kazi...jamaa yangu kamkaribisha rafiki yake ambae amekuja kuanza kazi kwenye the same same kampuni ambayo anasotea kazi....sasa jamaa yangu ana Demu wake kamuita njoo utuandalie chakula jpili hii..demu amekuja ameandaa msosi katenga mezani,alafu anaaga kwamba anarudi kwake...jamaa aliyekaribishwa kujistiri kwa jamaa yangu nae anamfuata nyuma...jamaa yangu anakula lakini machale yanamcheza kwa nini demu aondoke na jamaa mkaribishwaji afuate nyuma?...anaamua kumpigia simu demu kujua kama amefika salama simu haipatikani...mhhhh! Anapiga ya mkaribishwaji aipatikani!...ana amua kwenda kwa demu na kusikilizia dirishani..anasikia sauti ya mkaribishwaji ndani ikisema ''usiwe na wasi wasi mimi ntakuwezesha mtaji uanzishe biashara...sasa ndugu zangu wana jf jamaa yangu kaja kuniomba ushauri.Je amutimue yule jamaa yake aliyemkaribisha kujistiri kwake kwa kumzunguka?.ukizingatia huyu jamaa yake ndie anawezesha mambo ya maakuli na luku 80%? ...mimi nimemshauri akalale ntampa ushauri kesho yake yaani jtatu saa kumi na moja nikitoka kazini...ndugu wana jf nimshaurije huyu ndugu,Je inatakiwa a sume kwamba hajui kilichotokea au amchane jamaa yake live na amtumue? Naombeni ushauri wa kumpa huyu jamaa yangu.
 
nimerudia kusoma uzi wako karibu mara nne, kwa bahati mbaya sijauelewa labda waliokuelewa wanaweza kukushauri kitu,..
 
Sina cha kushauri maana kila kitu naona kipo wazi kutoa uamuzi wowote...
 
hizi ndo nyuzi mnazoanza nazo j3 mnapost mkiwa na mi hangover ya viroba...uzi haueleweki kichwa wapi,kiuno wapi, mbele wapi....
 
anaweza kumtimua jamaa .....lakini mwisho wa siku akapata hifadhi kwa huyo msichana wake atafanyaje...?.....aweke kikao kwa wote watatu na aseme yaliyo moyoni....akiamua awaache wote...mana jamaa anapajua kwa huyo msichana hata akimfukuza anaweza kuwasiliana kwa siri.....so afanye maamuzi magumu.....
 
thanks sister ushauri wako wa kuweka kikao cha wote watatu nimeuchukua.
 
hizi ndo nyuzi mnazoanza nazo j3 mnapost mkiwa na mi hangover ya viroba...uzi haueleweki kichwa wapi,kiuno wapi, mbele wapi....

ulitaka uzi wa kugengendana si ndio mumezoea..au nyuzi za kuwakashifu dada zetu..kama vipi ungepita kimya kimya tu...nimeandika kilochotokea sipo hapa kutunga ma story,am here to learn,adviced and to advice to..am not in mmu to cook up stories for fun.
 
acheni kuendeshwa na hisia, fata uhalisia. We eti ugombane na mwenzio kisa "sauti." wangapi duniani wanasauti za kufanana? Kumbuka jamaa ako ameenda pale akiwa na hof na mshkaji wake hvyo lazma kichwani ajenge mwangwi wa sauti ya mshkaj wake hata kama sio yeye. Halaf kilichomshnda kuingia ndan kwa "mpenzi" wake ili awe na ushahd kamili ni nin???? Amtimue aone kama hajala mawe.
 
Mambo mengine sio ya kufikiria mara mbili amtimue haraka sana!!Lakini kama huyo dem ni rahisi hata akimtimua rafiki yake atammega tu...aachane na wote!
 
acheni kuendeshwa na hisia, fata uhalisia. We eti ugombane na mwenzio kisa "sauti." wangapi duniani wanasauti za kufanana? Kumbuka jamaa ako ameenda pale akiwa na hof na mshkaji wake hvyo lazma kichwani ajenge mwangwi wa sauti ya mshkaj wake hata kama sio yeye. Halaf kilichomshnda kuingia ndan kwa "mpenzi" wake ili awe na ushahd kamili ni nin???? Amtimue aone kama hajala mawe.

Amtimue aone kama hajala mawe,hahahaha mkuu umenichekesha sana.
 
Mambo mengine sio ya kufikiria mara mbili amtimue haraka sana!!Lakini kama huyo dem ni rahisi hata akimtimua rafiki yake atamegwa tu...aachane na wote!

duh! U koffi Annan kazi jamani.noted mkuu
 
Kuna vitu vya kuzingatia hapo kabla ya kufanya maamuzi.

1: Yeye na jamaa aliyemkarbisha wana ukaribu wa kiasi gani na wametoka na kusota pamoja kwa mda gani
2: Urafiki wao(yeye na jamaa) upo deep kiasi gani
3: Kati ya msichana na huyo jamaa, nani ana umuhimu zaidi kwake (Hapa namaanisha kutokana na mazingira, jinsi wanavyoelewana na jinsi walivyojiweka na tabia ya kila mmoja)
4: Nani anaweza kuwa nae katika future yake (msichana au jamaa)

Akipata majibu ya hayo mambo anaweza kuendelea na maamuzi.

Binafsi yalishanipata mazingira kama hayo, nilikuwa na mshikaji wangu ambae tulikuwa tunapiga nae kitabu na tunakaa gheto moja (enzi nasoma). Ikatokea kuna msichana mmoja akawa anataka kampani yetu ya kimasomo, basi tukamkaribisha yule dada vizuri na tukawa tunapiga discussion nae. Baada ya mda tukavutiwa na yule msichana, tukakaa chini, tukajadiliana na kufanya uamuzi wa nani amuapproach yule dada ila mwingine akubali kusitisha zoezi la kumuapproach.

Jamaa akakubali mimi nimuapproach yule msichana na nikafanya hivyo na nikakubaliwa. wakati naendelea na msichana wala si muda mrefu kupita, niliona ishara zote ya kwamba jamaa yangu nae amerusha kamba na kuna kitu kinaendelea baina yao, sikutaka kuwahoji wala kuwauliza.

Siku ya siku nikaja kupata ushahidi wa wanayoyafanya na kwa sababu tulikuwa tunaishi wengi (kama watu 5 hivi) , kuna rafiki yetu mwengine nilikuja kumueleza ya kwamba naamini fulani ana mahusiano na yule binti amevunja makubaliano yetu. Jamaa alistuka na kuniuliza umejuaje? Nikamueleza tu ya kwamba mimi ni mtu mwenye akili zangu na najua watu wanapokuwa kwenye mahusiano. Baada ya kumueleza hivyo, rafiki huyu alinieleza kwamba ni kweli na wao wote wanafahamu hilo kasoro mimi na walikuwa wanashindwa kunieleza coz walihisi litanichanganya. Kusikia hivyo nilipima na kuchanganua, then sikumpotezea yule binti wala mshikaji wangu aliyemchukua yule binti ingawa walikuwa wanajistukia sana.

Mpaka leo tunaendelea na urafiki wetu na jamaa yangu but yule dada masikini sijui hata alipo kwani jamaa nae alikuja kumuacha baadae ingawa walisha-ahidiana kuoana.

So kwenye maamuzi jamaa yako aangalie sana.
 
thanks sister ushauri wako wa kuweka kikao cha wote watatu nimeuchukua.

Kikao cha nini weweee.... kwani ni mkewe?,,, mnataka kuumizana bure... akisema anampenda jamaa.....fukuzia mbali jamaa,, akihamia uko poa tu...... kwani si alishamega?... sasa alisubiri nini kujimilikisha na kumpa mtaji....fukuzia mbali......
 
thanks sister ushauri wako wa kuweka kikao cha wote watatu nimeuchukua.

Wewe siyo Buly gold mine kweli!!!!!!!!!,wewe unajua jinsi wasoteaji wanavyowatenda wake za watu waume zao wakiwa job si wanajua waume hawawezirudi home mambo ya ku click, wanajisevia tu......huyo jamaa alishaharibika amtimue..miner+wasoteaji=hatari.
 
mkuu haujakosea hata kidogo..mtingaji(miner) ka intrude kwenye ngome ya msoteaji..
 
Kuna vitu vya kuzingatia hapo kabla ya kufanya maamuzi.

1: Yeye na jamaa aliyemkarbisha wana ukaribu wa kiasi gani na wametoka na kusota pamoja kwa mda gani
2: Urafiki wao(yeye na jamaa) upo deep kiasi gani
3: Kati ya msichana na huyo jamaa, nani ana umuhimu zaidi kwake (Hapa namaanisha kutokana na mazingira, jinsi wanavyoelewana na jinsi walivyojiweka na tabia ya kila mmoja)
4: Nani anaweza kuwa nae katika future yake (msichana au jamaa)

Akipata majibu ya hayo mambo anaweza kuendelea na maamuzi.

Binafsi yalishanipata mazingira kama hayo, nilikuwa na mshikaji wangu ambae tulikuwa tunapiga nae kitabu na tunakaa gheto moja (enzi nasoma). Ikatokea kuna msichana mmoja akawa anataka kampani yetu ya kimasomo, basi tukamkaribisha yule dada vizuri na tukawa tunapiga discussion nae. Baada ya mda tukavutiwa na yule msichana, tukakaa chini, tukajadiliana na kufanya uamuzi wa nani amuapproach yule dada ila mwingine akubali kusitisha zoezi la kumuapproach.

Jamaa akakubali mimi nimuapproach yule msichana na nikafanya hivyo na nikakubaliwa. wakati naendelea na msichana wala si muda mrefu kupita, niliona ishara zote ya kwamba jamaa yangu nae amerusha kamba na kuna kitu kinaendelea baina yao, sikutaka kuwahoji wala kuwauliza.

Siku ya siku nikaja kupata ushahidi wa wanayoyafanya na kwa sababu tulikuwa tunaishi wengi (kama watu 5 hivi) , kuna rafiki yetu mwengine nilikuja kumueleza ya kwamba naamini fulani ana mahusiano na yule binti amevunja makubaliano yetu. Jamaa alistuka na kuniuliza umejuaje? Nikamueleza tu ya kwamba mimi ni mtu mwenye akili zangu na najua watu wanapokuwa kwenye mahusiano. Baada ya kumueleza hivyo, rafiki huyu alinieleza kwamba ni kweli na wao wote wanafahamu hilo kasoro mimi na walikuwa wanashindwa kunieleza coz walihisi litanichanganya. Kusikia hivyo nilipima na kuchanganua, then sikumpotezea yule binti wala mshikaji wangu aliyemchukua yule binti ingawa walikuwa wanajistukia sana.

Mpaka leo tunaendelea na urafiki wetu na jamaa yangu but yule dada masikini sijui hata alipo kwani jamaa nae alikuja kumuacha baadae ingawa walisha-ahidiana kuoana.

So kwenye maamuzi jamaa yako aangalie sana.

mkuu kwa jinsi ulivyo tiririka naomba nikupe like...jamaa wametoka mbali na msoteaji ndie alie mpigia simu jamaa yake kuna nafasi za fani yake zimetangazwag.na kweli akafanikiwa kupata,.mwanamke mwenyewe sio mchumba wala nini..ni wa kupozea tu though jamaa yangu kafika..si unajua tena mteremko ukizingatia bado hajapata job...ushauri wako ni mzuri sana.
 
awaweke kwenye mabano halafu azidishe kwa 0....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom