proxy
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 1,481
- 1,356
Kuna mdogo wangu kaitwa kwenye usaili wa Mamlaka ya maji mojawapo hapa nchini kwa fani ya IT ,waliowahi kupitia kwenye aina hii ya usaili naombeni uzoefu wenu hapa.Ni maswali ya kutoka angle ipi huwa wanapendelea kuuliza na vipi rank za mshahara pamoja na benefits zingine zikoje?