Niache 2
Member
- Aug 7, 2017
- 69
- 34
Habari Za Wakati Huu Wanajf!
Ni Matumaini Yangu Mu Wazima.
Niende Kwenye Point, Natokea Kijiji Fulani Wilayani Monduli, Na Hatukuwa Na Shule Ya Msingi Hivyo Tulilazimika Kutenga Eneo Na Baadaye Kuchangia Katika Ujenzi Wa Shule.
Tulifanikiwa Kujenga Madarasa Mawili Na Tukapata Wafadhili Nao Wakajena Madara Manne Na Toilet.
Sasa Hawa Wafadhili Wanakuja Kwa Kugha Nyingine Na Wanaomba Hii Shule Waifanye English Midium Kwa Madai Ya Kusema Watoto Kwa Hichi Kijiji Hawatalipia Chochote(yaani Watafadhiliwa) Ila Wengine Watalipa.
Point,! Kijiji Kimejigawa Hivyo Kuna Mdahalo Sasa Maana Kuna Wanaokubali Na Wanaokataa Je Wajf,tuwape Waifanye English Medium Ama Hapana?
Naombeni Ushauri Wa Kina Tafadhali,