heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 5,770
- 8,718
Asalaam kama ulivyosoma hapo nje mkuu, mi kijana katika kutafuta maisha nikaona niguse kila mahali nitafute mtaji kwanza mwenye utaalamu au anaejua kuhusu kilimo hicho anielekeze
Magu kasema India wananunuaAsalaam kama ulivyosoma hapo nje mkuu, mi kijana katika kutafuta maisha nikaona niguse kila mahali nitafute mtaji kwanza mwenye utaalamu au anaejua kuhusu kilimo hicho anielekeze