The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,780
- 8,155
Tatizo liko kwako acha KAZI ili upendo uongezeke kwake
Ongea kiswahili au ipeleke chatgpt waitafsiri kiswahili then unaicopy unapaste humuNafikiri moja ya super powers humu duniani ni power ya kuwa MKWELI.
Unajua kabisa moyoni I DO NOT LOVE THIS PERSON, but you settle because umri umeenda or uchumi haueleweki, hoping the heavens will intervene and fix it.
The heavens (GOD) have nothing to do with such arrangements because one of the laws operating in heaven is TRUTH. God has nothing to do with any covenants based on lies.
True Love doesn't die Bwana, tena when you're close it actually gets stronger. Even when they're far away Love stands.
Anayekataa haya hajui Upendo ni nini. Ame settle, yamemchachia, sasa amejaa sumu. Yeye mwenyewe hana Upendo ndani yake.
Most people settle. Most people Lie. Say the truth!
Tell them I HAVE NO FEELINGS nakuja tu kwasababu I am 30+ nisije nikaitwa msimbe, nungaembe, reject, low value woman etc.
Tell them I HAVE NO FEELINGS nakuja tu coz ramani hazisomi and you are offering to provide fo me, like that guy up there.
Tell them I HAVE NO FEELINGS nakuja tu coz sijampata ninayempenda na naweza nisimpate, na sitaki kuwa peke yangu milele, au sitaki kufanya uasherati.
Tell them I HAVE NO FEELINGS nataka tu Title ya family man family woman ili nipate cheo / benefits. Mpenzi wangu wa kweli nitakutana naye huko mbele ya safari.
Tell the Truth.
Sasa kuna kusema kweli na kuiishi kweli.
Unasema kweli halafu unaenda kuishi uongo. Kwenye sheria za logic huo ni uongo tu.
Marriage is a good thing designed by God himself. It is these Liers destroying this beautiful institution.
#ComeLordJesus
Hakumpenda tokea mwanzoni, ni vile alikuwa hajajipataBaada ya kulelewa na kufanikiwa ndio hafai, kwani ulilazimishwa kumuoa.
Kuna muda unatakiwa ujue hayo mahusiano ni hisia au tumbo
Tatizo apo ni wewe mkuu!! Inawezekana ulikuwa nae ili kupunguza ukali wa maisha sasa sa ivi una kazi unamuona mzee!!! Lakini nikwambie kitu kwanza acha michepuko yote lazima utampenda mkeo!! Huyo ni mtu muhimu kwako ukitaka kujua hilo jaribu kumuacha!!! Iyo ndo nyota yako acha michepuko tunza mkeo na watoto wako” umri sio tatizo kwenuNina jambo ambalo ningependa mnishauri, linanisumbua sana. Nisaidie kufanya maamuzi.
Nina miaka 29 ni baba wa watoto wawili. Nimeishi na mke wangu toka 2020 nilipomaliza chuo. Tumepishana umri kidogo yeye ana 34.
Wakati tunakutana alikuwa ameajiriwa na immediately tukawa tumeclick maana nilimuona ni mwanamke mchakarikaji. Tulianza kuishi pamoja baada ya kuona hamna haja kulipa kodi mara mbili nikahamia kwake.
Baada ya miezi 5 wife akapata ujauzito, kiukweli sikuwa tayari kuwa baba lakini niliona wife ana matumaini makubwa sana na kuanzisha familia nikaogopa kumdisappoint tu nikaamua tuendelee kuishi kama familia.
2021 nikapata ajira, ni kama wife alinifanyia connection nikapata pa kuanzia maisha nashukuru Mungu. Na familia pia ikazidi kukua.
Sasa kadri maisha yalivyozidi kusonga ndivyo mapenzi yanavyozidi kupungua kwa mke wangu sielewi. Naona kama nilikurupuka kuoa hivi, au ni kama nilioa kwa sababu ya uoga wa maisha.
Huyu mwanamke kiukweli moyoni simpendi ila naishi nae tu ilimradi kila nikitoka kazini najikuta tu najichelewesha kurudi nyumbani sababu sitaki maongezi mengi na huyu mwanamke. Sina furaha nikiwa nyumbani ila sionyeshi.
Nimejikuta tu nimekuwa mtu wa kuwa na mademu wengi huku nje tu angalau tu nafsi iridhike, nyumbani narudi tu kuzuga. Nafanya mapenzi nae ile tu nitimize wajibu lakini sina furaha.
Sijui kama unanielewa? Huyu mwanamke hana kasoro yoyote amefanya kila kitu mwanamke anatakiwa kumfanyia mume wake lakini bado roho haijamkubali mwisho wa siku najikuta natafuta furaha nje kutoka kwa wanawake wengine na michepuko, sasa sielewi ni mimi au na wanaume wenzangu wanaoishi kwenye ndoa wapo hivo au inakuwaje.
Najiona kama vile naishi ndani ya jela la kujitakia. Naombeni ushauri.
(Kutoka page ya Lawi Murunga)
Sasa kama papuchi ni tamu,na maisha yanaenda hizo mbwembwe nyingine ziache itakula kwako.Wewe ni pepo la umaskini linakuita,jifanye kama unamkemea shetani muda wote utaona faida.Nina jambo ambalo ningependa mnishauri, linanisumbua sana. Nisaidie kufanya maamuzi.
Nina miaka 29 ni baba wa watoto wawili. Nimeishi na mke wangu toka 2020 nilipomaliza chuo. Tumepishana umri kidogo yeye ana 34.
Wakati tunakutana alikuwa ameajiriwa na immediately tukawa tumeclick maana nilimuona ni mwanamke mchakarikaji. Tulianza kuishi pamoja baada ya kuona hamna haja kulipa kodi mara mbili nikahamia kwake.
Baada ya miezi 5 wife akapata ujauzito, kiukweli sikuwa tayari kuwa baba lakini niliona wife ana matumaini makubwa sana na kuanzisha familia nikaogopa kumdisappoint tu nikaamua tuendelee kuishi kama familia.
2021 nikapata ajira, ni kama wife alinifanyia connection nikapata pa kuanzia maisha nashukuru Mungu. Na familia pia ikazidi kukua.
Sasa kadri maisha yalivyozidi kusonga ndivyo mapenzi yanavyozidi kupungua kwa mke wangu sielewi. Naona kama nilikurupuka kuoa hivi, au ni kama nilioa kwa sababu ya uoga wa maisha.
Huyu mwanamke kiukweli moyoni simpendi ila naishi nae tu ilimradi kila nikitoka kazini najikuta tu najichelewesha kurudi nyumbani sababu sitaki maongezi mengi na huyu mwanamke. Sina furaha nikiwa nyumbani ila sionyeshi.
Nimejikuta tu nimekuwa mtu wa kuwa na mademu wengi huku nje tu angalau tu nafsi iridhike, nyumbani narudi tu kuzuga. Nafanya mapenzi nae ile tu nitimize wajibu lakini sina furaha.
Sijui kama unanielewa? Huyu mwanamke hana kasoro yoyote amefanya kila kitu mwanamke anatakiwa kumfanyia mume wake lakini bado roho haijamkubali mwisho wa siku najikuta natafuta furaha nje kutoka kwa wanawake wengine na michepuko, sasa sielewi ni mimi au na wanaume wenzangu wanaoishi kwenye ndoa wapo hivo au inakuwaje.
Najiona kama vile naishi ndani ya jela la kujitakia. Naombeni ushauri.
(Kutoka page ya Lawi Murunga)
YeahShe doesnt deserve that.
Upate wa kufanana na wewe.It works bro.
I can tell.
Ukinyooka sana mapenz yanaboa.
😂😂😂😂 mapenz yakipoa sana hayanogiUpate wa kufanana na wewe.
Mimi mtu mwenye hizo behaviours namuona namna hii
View attachment 3359069
😂😂😂😂😂 baada ya kupata kazi ndo akili imerudiKumbe ni story?
Hapo uliolewa wewe hukuoa
Mkuu vp kule kwenye uzi wetu kuna updates zozote?. I wish to know the end of your story brotherUnamtendea ukatili huyo dada.
Na nikushauri tu acha mara moja. She doesnt deserve that.
Sio kuwa humpend ila sema sasa humtaki.
Be watchful man, kama she is a perfect wife (which sounds she is infacr kwa habari umeeleza) usimuache huyo na usimganyie huo ushenz unataka kufanya. Utalia ,na hutaamini.
Ndio tumbo, sasa linamtesaHakumpenda tokea mwanzoni, ni vile alikuwa hajajipata
Umaskini mbaya mno mpaka wanaume wengine wanaolewa😂😂😂😂😂 baada ya kupata kazi ndo akili imerudi
umaskini mmbaya sana