Naombeni ushauri - serious

Naombeni ushauri - serious

Nduka Original

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
1,012
Reaction score
817
Mimi nina mke wangu na mtoto mmoja ila kuna dada nina mahusiano nae ya kimapenzi kwa muda wa kama miaka miwili hivi, huyu dada alikuwa ni mke wa mtu ila kwa bahati mbaya mume wake akatangulia mbele za haki.

Kwa kweli ni muaminifu sana, anajuwa mapenzi na pia yuko committed na maisha.

Mume wake hajamuacha vibaya sana kwani ni msomi na pia ana bishara mbili tatu.

Mimi tunashindwana na yeye katika mambo yafuatayo.

1. Anapenda kuendeleza uhusiano na na wale marafki ya marehemu mume wake

2. Anapenda sana freedom sometimes atoke nao dinner, drinks whatever ila anakuambia mahali kabisa alipo

3. Kuna wakati unaweza ukampigia simu akakwambia tuma text hawezi kuongea bila ya kukuambia alipo na anafanya nini.

Kwakweli mimi naona kwangu inakuwa ngumu kuendelea kuwa naye kwa hiyo freedom ambayo anaitaka.

Je wadau mimi niko right or not?
 
Huoni hata aibu kumsaliti mkeo jitahidi kuheshimu ndoa yako bwana

je unataka kumnyima uhuru huyo mjane wa watu utaweza kumuoa???????
mwache awe huru na maisha yake labda anaweza kupata mume wa kumalizia nae maisha yaliyobaki
maana wewe hautakuwepo katika maisha yake siku zote u mume wa mtu kumbuka

hapo uliposema ni ngumu kuendelea nae niheri muachane mkuu
maana anaweza kukuletea magonjwa au akakusababishia ndoa yako ikumbwe na migogoro ya kujitakia
BAKI NJIA KUU
 
Mimi nina mke wangu na mtoto mmoja. ila kuna dada nina mahusiano nae ya kimapenzi kwa muda wa kama miaka miwili hivi,


Kwakweli mimi naona kwangu inakuwa ngumu kuendelea kuwa naye kwa hiyo freedom ambayo anaitaka.

Je wadau mimi niko right or not???
mkuu una tatizo kubwa na wala si dogo. Hapo kwenye red nikazani umetulia lkn nilipofika kwenye blue nikashangaa . Sikuishia hapo na niliposoma mstari wa mwisho ukazidi kunishangaza. Hivi uko siriaz kweli na ndoa yako au ndio hivyo umezoea vya kunyonga. Kumbuka huyo mama mumewe alimtunza , lbd tukuulize ukiona mkeo anachukuliwa na mtu mwingine utajisikiaje ili hali wewe umemtunza , je mkeo atakua right or not mkuu?
 
Una wake wa2 peke ako wkt wenzako hata 1 hawana? Aagh acha ulafi bana huyo mjane mwache endelea na mkeo utapata ngoma bureee
 
Inaonekana jamaa anaruhusiwa kuwa na mke zaidi ya mmoja au nafsi yake inamruhusu kuwa na mke zaidi ya mmoja.

Ndugu, binafsi huwa siwaamini wajane hasa wanaofanya vibiashara/wasomi.

Unajua mume wake alikufa kwa ugonjwa gani?

Kama umemgegeda hamna shida cha msingi mkapime UKIMWI kwanza kabla ya stori zingine.
 
....... Yaani una mke, kwa nini unahangaika na mjane?
Namuonea huruma mkeo mbonaaa!!


Unatafuta gonjwa wewe!! Unajua mume wake alikufa kwa ugonjwa gani?
 
It is not easy being the other woman.

Life has to go on even when loneliness creeps in.

Let her socialize and enjoy her freedom.

Surely you cannot have it all.

You cannot be so lucky!!
 
Back
Top Bottom