Naombeni ushauri nisome course gani ya afya kwa matokeo haya

sidhani, ukifanya casaual survey z PCB across schools, wenye Div 1 ya points 3,4,5,6,7 ni wachache mno. Nenda shule zile 10 bora angalia PCB ni wangapi wako kwenye category hiyo (3,4,5,6,7)................... casual survey anyway
 
nna jamaa wana one ya 7 na wamekosa MD MUHAS.
Inawezekana kwa MD kuwa na ONE ya 3,4,5,6, watu 200 admission capacity ya MUHAS wa 7 wakakosa, LAKINI SI KOZI ZOTE HIZO , pharmacy, optometry, physiotherapy, Lab sciences kakosa na one ya pt 7! au wasemaje?
 
Kuliko kuomba education na programmes zifananazo au kusubiri mwakani ni bora uombe diploma ya geomatics, hutojuta mdogo wangu. Sio lazima ushikilie afya afya afya...
Mkuu geomatics inahusu vitu gani?
 
sidhani, ukifanya casaual survey z PCB across schools, wenye Div 1 ya points 3,4,5,6,7 ni wachache mno. Nenda shule zile 10 bora angalia PCB ni wangapi wako kwenye category hiyo (3,4,5,6,7)................... casual survey anyway
Wewe kakwambia nani kama wachache kuwa katika top ten ile ni overall result haimaanish hizo shule nyengine hakuna one kali mzee.
 
Kozi za afya ziko nyingi tatizo madogo mmekaririshwa sana..

Ebu omba hii kozi Environmental health Sciences..inaptikana muhas,suza na rucu.

Utakula mema ya nchi.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…