Chukuwa ushauri huu.Binafsi huwa naona SI SAWA KUMWAMBIA MWENZA BAADA YA KUMFUMA MWINGINE.. Kama kweli unataka kujenga, mwambie huyu shemeji yako kuwa anayoyafanya siyo, na aache Mara moj...!! Najua huyo shemeji anaweza kukusingizia jambo kwa jamaa, wewe tunza ushahidi...!! Hasa kwamba unamtaka kimapenzi
Ila kwa upande mwingine, jiandae kuvunja urafiki wenu.
Kabisa ni kuchuna tu,atakuja kujua mwenyewe ,Mmh usije ukawa chanzo cha ugomvi wao mkuu , ingekua mimi ningekausha tu.
Kwahiyo bora kimya kimya eti eeeh?uphaller mwingine,
kosa la kwanza mwanamke kaisaliti ndoa yake, kosa lingine kubwa zaidi ni kwenda kumsaliti mumewe kwa takataka moja isiyojielewa inayopost picha za ushahidi pamoja na video kwenye group, huku ikijua kabisa huyo ni mke wa mtu (hata ingekuwa hajaolewa bado siyo busara)..!
Watakushauri wenye busara zao mingi, me nimemaindi tu vile hao wachepukaji wote ile namna hawajielewi, mtseeeuuw' zao...!
Aisee ulifanya jambo la busara mkuu, japo inauma yaani unashuhudia Kaka yako akisalitiwa😪, ila sasa ukifikiria consequences baada ya kumwambia mmh, labda tu siku ungemchana huyo shemeji kwamba siku ile hukupenda alichokifanya na asirudie otherwise utamwambia Bro nadhani angeogopa na asingerudia.Kabisa ni kuchuna tu,atakuja kujua mwenyewe ,
Nilimfumania mke wa bro live kabisa anapapaswa na njemba buguruni huko.
Nimeshuka kituoni pale sokoni kuna bar na lodge pembeni.
Nikaona ngoja nikapige supu humo,
Hamad shemu huyu hapa tena anapapaswa kabisa kakumbatiwa anachekacheka tu.
Aliponiona alishtuka sana,kama aje anisalimie,
Nilipita nikatokea mlango mwingine huyo nikatimka.
Nilishika cm km mara 3 nimpigie bro
Badae nikaona achana nao hao wameoana na wana mtoto mdogo.
Sikuwai kumwambia bro mpk anakufa.
Maana nae namjua,angembatua mtu leo yuko jela.
Nini mkuu, je ukisema afu hasira zake akamuua huyo mwanamke utajisikiaje wewe uliyepeleka taarifa, je ukisema then kwa mshtuko huyo mume akapata presha na maradhi ya moyo, je ukisema asipokuamini wewe akahisi ni mchonganishi tu huoni itakua mwisho wa urafiki wenu?Mmmhh
Na je ukikaa kimya rafiki yako aje afe na ukimwi utakuwa umemsaidia?Nini mkuu, je ukisema afu hasira zake akamuua huyo mwanamke utajisikiaje wewe uliyepeleka taarifa, je ukisema then kwa mshtuko huyo mume akapata presha na maradhi ya moyo, je ukisema asipokuamini wewe akahisi ni mchonganishi tu huoni itakua mwisho wa urafiki wenu?
Dah sawa ila labda umwambie indirectly amchunguze mkewe ila si kumwambia nimeona picha na videos mkeo anakusaliti, ama umface huyo mwanamke umwambie umeuona huo upuuzi anaoufanya na muoneshe na hizo picha then mchimbe mkwara kwamba unampelekea mumewe aone. Hapo ataogopa na atajirekebishaNa je ukikaa kimya rafiki yako aje afe na ukimwi utakuwa umemsaidia?
Ni kweli kabisa mkuu, ila sasa what if ukimwambia kwa hasira akamchoma mkewe na gunia 2 wewe utajisikiaje huku?Usiri ni chanzo cha maambukizi ya ukimwi , na unafiki ni dhambi na ni chanzo cha mauti
Yeah at least ufanye kitu kuliko kujifanya rafik afu unamficha rafik yako jambo kama hilo. Mimi kama mimi ningependa rafik yangu aniambie tu direct ntamthamin sanaDah sawa ila labda umwambie indirectly amchunguze mkewe ila si kumwambia nimeona picha na videos mkeo anakusaliti, ama umface huyo mwanamke umwambie umeuona huo upuuzi anaoufanya na muoneshe na hizo picha then mchimbe mkwara kwamba unampelekea mumewe aone. Hapo ataogopa na atajirekebisha
Sijawahi kukutana na hizo scenarios, labda marafiki zangu wanajiheshimu 🤔Yaan hapo kuwa chanzo Cha ugomvi pananifikirisha Sana .
Umewahi kufanya hivyo(kukausha) kwa rafiki yako kipenzi?
Ndoa na iheshimiwe na watu wote…