MoseKing
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 4,927
- 8,911
Kasome sheria Tudarco kwa kuwa ni kozi unayoipenda kuliko unavyopenda psychology. Hii itakuepysha na majuto mbeleni.Habari humu.
Nipo njia panda , nahitaji Mawazo yenu kufanya maamuzi ya mwisho.
Ipo hivi nimechaguliwa UDSM ( BA in Psychology) na Tudarco ( LLB).
Kila MTU ana ndoto zake lakini pia siku hizi suala la kusoma ni maslahi.
Napenda sana sheria, preferably ningewish kusoma (UDSM & Mzumbe)
Bahati mbaya UDSM nimepata( BA in psychology) na Laws - Tudarco.
Je, una la kunishauri?
Karibuni sana ndugu.
Baadaye ytakuja kujiliwaza kwa kusoma Masters kwenye chuo unachokipenda ( Mzumbe/UDSM ).
Kumbuka,
Ukisoma kozi usiyoipenda utapata majuto ya maisha kwa kuwa naamini upendo wa kitaaluma ni bora kuliko chuo.
Mwisho wa siku, mwanasheria mzuri ni haijalishi umesoma wapi, ni juhudi tu, maarifa, utundu, kujisomea na nguvu ya hoja.