Torquemada
JF-Expert Member
- Oct 17, 2020
- 231
- 260
- Thread starter
- #41
Okay!Vyote ni vizuri ila shida inakuja baada ya kusoma....kuibalisha elimu kuwa pesa hapo ndo pakumu...pambana ila unasafari ndefu
Tutapambana tu mkuu wangu.
Okay!Vyote ni vizuri ila shida inakuja baada ya kusoma....kuibalisha elimu kuwa pesa hapo ndo pakumu...pambana ila unasafari ndefu
Hyo ni new oyschology ilikuwa inatolewa kwa education, sasa watu wanatafta field mpaka uanze kuelezea course Ina maana gani, kibongo hyo course big no kwa kijana, inalipa huko kwa wazunguMmh.. mbona ipo Kitambo?
Sema mwanzoni likuwa inatolewa SoEd, ila kwa sasa iko Humanities.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sheria ikishapata mhuri ni rahisi kujiajiri tofauti na hyo saikoloji bongo haiheshimiwi Hadi ujulikane Kama Mauki hivi hivi ngumu
Ushauri wangu ni nenda kachukue sheria. Sheria ni fani ambayo ni rahisi kuajiriwa au kujiajiri. Ninayekueleza haya niko kwenye fani inayokaribiana kiasi na saikolojia. Pamoja na fani (saikolojia) hii na ina ushabiki ambao siyo wa kweli, lakini kiajira hii fani ni ngumu kuajiriwa au kujiari, hasa ukichukuwa nchini kwetu siyo watu wengi wana uwezo wa kutumia huduma za kisakolojia. Chukuwa nafasi ya sheria mapema.Habari humu.
Nipo njia panda , nahitaji Mawazo yenu kufanya maamuzi ya mwisho.
Ipo hivi nimechaguliwa UDSM ( BA in Psychology) na Tudarco ( LLB).
Kila MTU ana ndoto zake lakini pia siku hizi suala la kusoma ni maslahi.
Napenda sana sheria, preferably ningewish kusoma (UDSM & Mzumbe)
Bahati mbaya UDSM nimepata( BA in psychology) na Laws - Tudarco.
Je, una la kunishauri?
Karibuni sana ndugu.
Udsm too much complications na stress za walimu kutoa marks mbaya I'll uone shule ngumu, Ila vyuo vingine wanakula Raha kwanini usome kwa stress plus marks ndogo mwishowe baadae ikose scholarship zinazotaka GPA kubwa au kazi ya ulecturer ukose kisa GPA ndogoKuna mtu alinijuza hapo kitivo kuna vitimbwi vingi na disco ni nyingi kwa Sheria.
Ahsante sana mkuu kskUshauri wangu ni nenda kachukue sheria. Sheria ni fani ambayo ni rahisi kuajiriwa au kujiajiri. Ninayekueleza haya niko kwenye fani inayokaribiana kiasi na saikolojia. Pamoja na fani (saikolojia) hii na ina ushabiki ambao siyo wa kweli, lakini kiajira hii fani ni ngumu kuajiriwa au kujiari, hasa ukichukuwa nchini kwetu siyo watu wengi wana uwezo wa kutumia huduma za kisakolojia. Chukuwa nafasi ya sheria mapema.
Upo sahihiUdsm too much complications na stress za walimu kutoa marks mbaya I'll uone shule ngumu, Ila vyuo vingine wanakula Raha kwanini usome kwa stress plus marks ndogo mwishowe baadae ikose scholarship zinazotaka GPA kubwa au kazi ya ulecturer ukose kisa GPA ndogo
Chonde chonde usiyumbe mdogo wangu piga spana hapo hapo law na ukapige msuli kweli kweli upate marks za juu ukawe gwiji wa Sheria hamna sehem utakosa kaziAsante sana mkuu billdrago
Hakika umenipa Hamasa na Moyo kusoma Sheria.
Kupitia hiyo nitafanya mabadiliko kwa nchi kuliko psychology ningefanya kwa MTU mmoja mmoja.
Daah! You made my day worth living.Chonde chonde usiyumbe mdogo wangu piga spana hapo hapo law na ukapige msuli kweli kweli upate marks za juu ukawe gwiji wa Sheria hamna sehem utakosa kazi
Ahsante kwa ushauri.wahitim wa LLB wamezagaa mtaan dogo nenda UDSM ukapige pyschology
Kwa UDSM inawezekana kuhama kutoka LLB kwenda course nyingine ila kuhama kutoka course kwenda LLB ni kama haiwezekani vile labda performance yako iwe juu kuliko wadahiliwa wote wa LLBHv si anaweza fika chuo akabadilisha au[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Naunga mkono hoja,kozi zingine ziko kwa utamaduni wa wazungu.Sheria ikishapata mhuri ni rahisi kujiajiri tofauti na hyo saikoloji bongo haiheshimiwi Hadi ujulikane Kama Mauki hivi hivi ngumu
Wapuuze watu wa dizaini hii
Uko sahihi kwanza watu hawajui hata kazi za mwanasaikolojia nini na huku tumezoea shida kiasi kwamba mtu anapona mwenyewe na wanasaikolojia wa huku ndio waganga wa kienyeji na mashekhe tena watakwambia wakutoe mapepo. So hyo course ni huko kwa wazungu kibongo bongo ni big noNaunga mkono hoja,kozi zingine ziko kwa utamaduni wa wazungu.
Hakuna mbongo anatoaga pesa kwenda kupata ushauri wa mwanasaikolojia.
Ahsante sana mkuu mbu wa dengueNaunga mkono hoja,kozi zingine ziko kwa utamaduni wa wazungu.
Hakuna mbongo anatoaga pesa kwenda kupata ushauri wa mwanasaikolojia.
Naona anataka niingiza chakaWapuuze watu wa dizaini hii