Naombeni ushauri nichague kozi ipi kati ya hizi?

Naombeni ushauri nichague kozi ipi kati ya hizi?

Uko sahihi kwanza watu hawajui hata kazi za mwanasaikolojia nini na huku tumezoea shida kiasi kwamba mtu anapona mwenyewe na wanasaikolojia wa huku ndio waganga wa kienyeji na mashekhe tena watakwambia wakutoe mapepo. So hyo course ni huko kwa wazungu kibongo bongo ni big no
I can see your point here
 
Msaada wenu ndugu zangu wa dharura

Nina mdogo wangu amechaguliwa mipango tu kwenye 1st round aka confirme, ilipotangazwa 2nd round akaomba tena akapata aridhi university, ila aridhi wamekataa kumtumia code kwaajili ya ku confirme kwa kuwa wanasema ameshapata chuo kingine,

otherwise aombe mipango wamuondoe kwenye selection, moyo wake wote upo aridhi na iyo course aliochaguliwa chuo cha aridhi ndio ilikuwa ndoto yake kusoma, na kesho ndio mwisho wa ku confirme chuo naombeni msaada wenu kwenye ili afanyaje ili aweze kupata chuo cha aridhi.

Msaada wenu ndugu zangu wa haraka.
 
Mkuu, hongera Unaonesha upo serious na unachokitaka, There's no doubt kwamba LAW ya UDSM ni bora kuliko vyuo vyote hapa TZ, lakini hii haiondoi ukweli kwamba vyuo vingine vinatoa course hiyo, Follow your passion,
 
Turdaco kwa LLB wapo vizuri sana nenda utajionea mwenyewe acha kuangalia majina ya vyuo.
 
Ahsante sana mkuu!

Nitasoma kwa hasira LAW ili nikasome Masters nje ya nchi.
 
Turdaco kwa LLB wapo vizuri sana nenda utajionea mwenyewe acha kuangalia majina ya vyuo.
Ahsante sana mkuu kwa ushauri.

Nitaenda kupiga msuli sana masters nisome nje sio hapa tena Tz
 
Wadau mwenye kujua course ya botanical science anipe orientation kidogo ya udsm
 
Mkuu kama ndoto yako kuwa mwanasheria mzuri TUDARCO ni the best place for learning nipo hapo walimu wanafundisha vizuri na wanahahakikisha unaelewa vizuri sana so acha kuangalia jina la chuo pia TUMAINI vyuo vyao kwenye sheria wapo vizuri sana.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Ahsante mkuu Godo kwa ushauri.

Nilikuja kupata UDOM- Bachelor Of Laws, Round ya tatu, nipo kwenye harakati za kuconfirm.
 
Kama unataka kuharibu future yako nenda udsm ingawa ukibahatika kumaliza utatoka ukiwa unajua kila aina ya maisha.
 
Habari humu.

Nipo njia panda , nahitaji Mawazo yenu kufanya maamuzi ya mwisho.

Ipo hivi nimechaguliwa UDSM ( BA in Psychology) na Tudarco ( LLB).

Kila MTU ana ndoto zake lakini pia siku hizi suala la kusoma ni maslahi.

Napenda sana sheria, preferably ningewish kusoma (UDSM & Mzumbe)

Bahati mbaya UDSM nimepata( BA in psychology) na Laws - Tudarco.

Je, una la kunishauri?

Karibuni sana ndugu.
Degree ya sheria LLB haitegemei chuo fulani, bali inategemea uwezo wako wa kufanya constructive argument, through the process of reasoning.
 
Back
Top Bottom