Naombeni ushauri ndugu zangu

Mkuu unatokea
goma pale pale ama ni Kinshasa?
 
Shida yako na mkeo ni kitu gani? Umeandika nusu nusu vitu visivyoeleweka ndio maana unapopolewa na ma GT's.
 

Active kuna uzi wa kuupeleka Recycle Bin huku...
 
Sijui mudi wanasubiri nini kufanya usafi hapa...โ˜น๏ธ
 
Oya jamaa naona umechanganyikiwa hadi kuandik hujui au kama vip rudi shule
 
Umetoroka milembe?
Yaani ushafika mwaka kesho?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Afu stori hii ya mwaka kesho bado haijaeleweka ๐Ÿ˜ rudi wodini kwanza ukachomwe sindano akili itulie
 
Watu wote tuna matatizo ya akili, ni suala la muda tuu
๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ mkuu sasa apo umenifungua namimi mana kila nikisoma sielewi nianzie nyuma niende mbele au nianzie katikati dah
 
Wahi mirembe we mwehu,kati ya wale vichaa tisa kati ya watz 10 we umecover nafasi mbili.
 
Mwezi wa kwanza mwaka kesho?
Wewe utakuwa chekechea kabisa
 
Subiri kwanza Mwezi wa kwanza mwaka kesho uoe ndio uandike thread
 
Labda jamaa ni msukuma maana jamaa wanachanganya kesho na jana
 
Kwa sasa ungesubiri kwanza. Tutakushauri huo mwezi wa kwanza, mwaka kesho.
 
Reactions: K11
Soma ulicho kiandika
 
we jamaa ulisrma umeanza kutokwa na matako kuwa makubwa vp bado yameumuka au..?๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ