Naombeni ushauri: Msichana wangu ana mchepuko

Naombeni ushauri: Msichana wangu ana mchepuko

Yaani mijitu mengine sijui mijiwanaume ya aina gani. demu ana.to,mb.wa kila sehemu na kila mtu yeye eti linakuja kuomba ushauri wa kijinga humu. Halafu utakopoleta uzi nimeathirika sijui i am HIV + unataka tukuonee huruma???
Nyambafu sana unakera wewe jamaaa
Duh sio kwa hasira hizi mkuu
 
Habarini wakuu,

Nina msichana wangu mmoja tulianza nae mahusiano toka 2013, katika maisha ya mapenzi baina yetu kuna kipindi cha kati hapo tukagombana, ikabidi kila mmoja akaendelea na ishu zake.

Sasa yeye mwenzangu katika kipindi hicho tulichoachana akatoka na lijamaa huko akapewa kibendi, Mungu akamjaalia akajifungua mtoto wa kiume. Katika kipindi chote toka alipopata ujauzito jamaa aliyempa kibendi alikataa kuhudumia mpaka mtoto alipozaliwa.

Mara baada ya kujifungua huyu msichana akaanzisha tena mahusiano na jamaa aliyemtoa usichana (huyu siye aliyempa kibendi), katika mahusiano yao sijui kilichoendelea lakini niliskia waliachana.

Katika shida shida za utawala huu wa mjomba magu huyu msichana akanitafuta last year and tuka reconcile so akawamsichana wangu tena. Tatizo lilikuja alipotaka nimuoe, mimi sikuwa na tatizo sema kama mtu ninaejielewa ikabidi nifanye uchunguzi (sikutaka kuingia kichwakichwa kwenye ishu za ndoa) kama hana mchepuko huko alipo na ndio hapo nilipojua anatoka na lijamaa lake la zamani.

Ushahidi nilikuwa nao wa kutosha kuanzia messages hadi baadhi ya siku huwa anaenda kulala kwa mchizi, sasa nilipo mconfront kama najua anamchepuko na najua huwa analala kwa mchizi baadhi ya siku msichana alinijia juu kwa maneno mengi akataka tuachane, tatizo sikuwa na nia ya kumuacha ilikuwa tuongee tuyamalize lakini mwenzangu akawa analazimisha tuachane, sasa katika marumbano mimi nikaona isiwe tabu tukapigana chini.

Sasa cha kushangaza jioni yake baada ya kuachana akanitumia message kuniomba msamaha kwa alivyokuwa ananijibu na hataki tuachane kwa hasira, nikamwambia nimemsamehe.

Sasa hapa nipo dilema maana msichana nampenda na yeye ana feelings nasema hivi kwa sababu tunakaa mikoa jirani na kila nikiwa na shida naye nikimpigia aje kesho jua lazima atatia maguu gheto, sijawahi kumwambia aje akazingua au akagoma au akaleta kisingizio cha kutokuja.

Na hata kesho nikimwambia aje huku nilipo atakuja ingawa tumeachana, tatizo hataki kukiri makosa yake na hataki hata kusikia ushahidi niliokuwa nao.

Naombeni ushauri wakuu nimpotezee kimoja au niwe mvumilivu nishee na mchizi?
Mkuu nasikitika kukwambia hujuelewi.
Huyo hakupendi kwa dhati kuna kitu anakupendea ama unamsaidia mambo yake au anaona future nzuri mbele akiwa na wewe lakini ataendelea kuchepuka kama kawa hata siku moja kabla ya ndoa.
 
Wanaume wengine sijui ni wapi ,nyie ndo mnatufanya wanawake watudharau ,' unaachwa anaenda huko Anazaa analudi unampokea
 
Labda hujawahi kupenda mkuu
Mkuu unasema sjawai penda?nilitegemea useme hiv actualy..bas nimeshaconclude wew ni mtu wa aina gan.maana wote wasemao hiv ni either ndio mpenz wa kwanza huyu,yaan experience hua ni 0.au la domo zege wa hatar.unaogopa madem...ila kwa mim ambaye nshapitia scenarios tofaut na ni konkod na idad ya rlnshp nilizopita ni nying,naona niseme kila la kheri bwa mdogo,..usipomwacha huyo dem utakuja juta.
 
Pole sana, wewe umekaa nae toka 2013, mwenzio kapita siku moja tu tayari kibendi.. pamoja na drama zote hizo bado unaomba ushauri..wewe jasiri kweli
 
Ana maji muwasho mengi ni Malaya huyo achana nae
norshad3.jpg
 
wewe jamaa ni kilaza sana,yaani wenzako tunavyowasulubu hao wanawake tutakavyo wewe unakuja kututia aibu humu na pumba zako,eti nampenda,unampenda malaya,how does it come?
nilichokigundua jamaa hauna hela,fanya kazi kwa bidii upate pesa hizo shida za moyo wako zitabakia historia!
Dah anatia sana aibu wanaume atuko ivyo bhana kum*maee walai...kweli tumetofautiana dah
 
We endelea kushika pembe tu, ila jihadhari asije akakuletea magonjwa bure. Hakufai huyo.
 
Back
Top Bottom