lucky lefty
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 491
- 454
- Thread starter
- #101
Nishapima mkuu halafu kinga huwa inahusikapole sana kuwa makini pia kwanza angalia afya yako kapime ndo uchukue hatua
Nishapima mkuu halafu kinga huwa inahusikapole sana kuwa makini pia kwanza angalia afya yako kapime ndo uchukue hatua
OkBe a man!
Sawa mkuu tafanyia kazi ushauriwewe ndie unayejipa moyo anakupenda lkn hakuna kitu hpo anakupendea kwa sbb unamhudumia ...trust me siku ukiyumba kiuchumi utadhihirisha haya ninayokurleza...msichana mwenye malengo na wewe hawezi kucheat kwa kiwango hicho yaani kosa la kwanza mlipoachana akaamua kuzalishwa ...hujakaa sawa baada ya kurudiana anaendeleza kuto...m...b....w.....a na wewe unasema anakupenda na ana malengo na wewe ....kifupi amekuona dhaifu sn ...makosa yake unapoyagundua anajua atakutuliza kwa maneno gani!!! wewe usioe huyu kahaba labda uendelee kumpiga pumbu tu
Sio ule wa watu maarufuuko mkoa gani?,
Hivi wewe mpaka sasa hujastuka tu kuwa huyo demu ni kicheche na hakufai? Unamtetea nini wakati kazalishwa na bado ana mtu mwingine? huyo mama yake hujui ndio mficha siri wake? unadhani kuongea na mama yake ndio binti hachepuki? kufa na zigo lako la ma.vi naona unashauriwa uelewi. Subiri uone matokeo yake, mtu unakuwa kama bwege wa mapenzi ndio maana wengine wanasema umelishwa limbwata stuka huyo demu wewe ndio mchepuko unaibiwa mchana kweupe kwani ndio m/mke wa kwanza kuwa nae maishani mpk uwe zuzu kiasi hicho? Wanaume kama wewe nadhani ni mmoja kati ya 100 wenye uvumilivu kama wakoSidhani kama mm ndo mchepuko maana hadi kwao nafahamika na bi mdashi wake
Duh asante mkuu🙂Kwahiyo kipimo chako ni aje na yeye anakileta??wajinga nyie wote wawili
Sawa mkuuKwa kuwa analala kwa mchizi, nadhani nayeye ni chizi ndo maana anafanya hivyo kichizi. Kama nawewe ni chizi muoe lakini kama wewe siyo chizi achana naye.
Duh hyo stage ni kwa Mke mkuu kwa hawa akina Girlfriend sijafikia au kufikiria kufanya hayoHuwa sipend maneno makali lakini leo nina ushauri huu MZURI kwako;
ua,kama huwezi basi tia jeraha;
Sio ule wa watu maarufu
Duh hyo stage ni kwa Mke mkuu kwa hawa akina Girlfriend sijafikia au kufikiria kufanya hayo
hahahaha duhshare na mchizi mwanangu umoja ni nguvu utengano ni dhaifu!! wahenga waliyaona haya!
Ilo sio tatizo mtt wa kike anaweza kwenda kuwapeleka wote kikubwa demu ana tamaa sasa kama amesha kuroga sawa.kama bado achia mbona alie anza nae amempotezea ww washindwa nnSidhani kama mm ndo mchepuko maana hadi kwao nafahamika na bi mdashi wake