Naombeni ushauri: Msichana wangu ana mchepuko

Naombeni ushauri: Msichana wangu ana mchepuko

SAS ww unatak ushaur gan wakat wenyew unajua ana kucheat na una evidence....
Pamban na hali yako broo, maamuz n ww mwenyw
 
Una roho ngumu yaani dalili zote hizo bado.unataka kuendelea nae. Bora uachane nae tu atakusumbua sana huko baadae ataendelea kutoka na hao watu wake.
 
Subiri upewe gono ndipo utajua kwa nini hutaki kuachana naye.

Yaani wewe umepiga weee hukuwahi pewa mtoto.

Njemba kapewa papa na mtoto na amesepa.

Jiulize kwa nini aliye mfungua njia na aliyemzalisha wamemtema.

Hafwaiiii
 
mpaka hapo wewe ndo mchepuko. Bila shaka kama una vijihela, yeye huja kwako tu kuchukua vijihela vya kumtunzia mtoto wa mwanaume mwenzio. Yawezekana pia machizi wengine mnaoshea nao wanakujadili wewe pia. Nauona mwisho mbaya sana kwa mwanamke huyo. 'Jiweke pembeni, epusha msongamano.'
 
wewe jamaa ni kilaza sana,yaani wenzako tunavyowasulubu hao wanawake tutakavyo wewe unakuja kututia aibu humu na pumba zako,eti nampenda,unampenda malaya,how does it come?
nilichokigundua jamaa hauna hela,fanya kazi kwa bidii upate pesa hizo shida za moyo wako zitabakia historia!
kweli kabisa aisee anatudhalilisha wanaume huyu jamaa! eti anakomaa na malaya! aache habar hizo bwana
 
Kaka wewe ni mwanaume wa aina yake. Pamoja na vituko vyote alivyokufanyia bado uko nae?
Chukua hatua kaka?

Alaf hiyo ishu ulipo muonyesha kwamba umemgundua alikuwa akichepuka, ni kwamba alikuwa mkali ili kukuondoa kwenye mstari usiendelee na hilo jambo.

Kwa mtazamo wangu ,kaka umemzoaesha kuwa mkizinguana hata kama kosa ni lake atakuwa mkali, baadae ataomba msamaha utakubali ,then atarudia tena.

Huyo hakufah kaka, usije ukafunga nae ndoa coz utakuwa umefanya mistake of a life time.
 
Back
Top Bottom