Naombeni ushauri: Msichana wangu ana mchepuko

Naombeni ushauri: Msichana wangu ana mchepuko

Yani kakipuyangisha hukoooo kazalishwa halafu unataka kuoa! Nataman kupata moyo kama huo na mimi
 
Ukikosea kuoa utateseka maisha yako yote yaliyobaki hapa duniani. Kuoa mtu wa aina hiyo ni sawa na kumuolea mtu mke
 
Back
Top Bottom