Naombeni ushauri: Msichana wangu ana mchepuko

Hii stor ya ukwel au ni shigongo?stak kuamin kama wanamume kama hawa bado wapo..stak kuamin kabisa.. hiv kuna watu bado wanalia lia hiv kweli?daah,kijana mwenzangu,
 
acha kudhalilisha uanaume ww piga chini
 
Habarini wakuu,

Nina msichana wangu mmoja tulianza nae mahusiano toka 2013, katika maisha ya mapenzi baina yetu kuna kipindi cha kati hapo tukagombana, ikabidi kila mmoja akaendelea na ishu zake.

Sasa yeye mwenzangu katika kipindi hicho tulichoachana akatoka na lijamaa huko akapewa kibendi, Mungu akamjaalia akajifungua mtoto wa kiume. Katika kipindi chote toka alipopata ujauzito jamaa aliyempa kibendi alikataa kuhudumia mpaka mtoto alipozaliwa.

Mara baada ya kujifungua huyu msichana akaanzisha tena mahusiano na jamaa aliyemtoa usichana (huyu siye aliyempa kibendi), katika mahusiano yao sijui kilichoendelea lakini niliskia waliachana.

Katika shida shida za utawala huu wa mjomba magu huyu msichana akanitafuta last year and tuka reconcile so akawamsichana wangu tena. Tatizo lilikuja alipotaka nimuoe, mimi sikuwa na tatizo sema kama mtu ninaejielewa ikabidi nifanye uchunguzi (sikutaka kuingia kichwakichwa kwenye ishu za ndoa) kama hana mchepuko huko alipo na ndio hapo nilipojua anatoka na lijamaa lake la zamani.

Ushahidi nilikuwa nao wa kutosha kuanzia messages hadi baadhi ya siku huwa anaenda kulala kwa mchizi, sasa nilipo mconfront kama najua anamchepuko na najua huwa analala kwa mchizi baadhi ya siku msichana alinijia juu kwa maneno mengi akataka tuachane, tatizo sikuwa na nia ya kumuacha ilikuwa tuongee tuyamalize lakini mwenzangu akawa analazimisha tuachane, sasa katika marumbano mimi nikaona isiwe tabu tukapigana chini.

Sasa cha kushangaza jioni yake baada ya kuachana akanitumia message kuniomba msamaha kwa alivyokuwa ananijibu na hataki tuachane kwa hasira, nikamwambia nimemsamehe.

Sasa hapa nipo dilema maana msichana nampenda na yeye ana feelings nasema hivi kwa sababu tunakaa mikoa jirani na kila nikiwa na shida naye nikimpigia aje kesho jua lazima atatia maguu gheto, sijawahi kumwambia aje akazingua au akagoma au akaleta kisingizio cha kutokuja.

Na hata kesho nikimwambia aje huku nilipo atakuja ingawa tumeachana, tatizo hataki kukiri makosa yake na hataki hata kusikia ushahidi niliokuwa nao.

Naombeni ushauri wakuu nimpotezee kimoja au niwe mvumilivu nishee na mchizi?
pole sana kuwa makini pia kwanza angalia afya yako kapime ndo uchukue hatua
 
Mambo mengine bwana, siyo hata ya kuchangia
 
wewe ndie unayejipa moyo anakupenda lkn hakuna kitu hpo anakupendea kwa sbb unamhudumia ...trust me siku ukiyumba kiuchumi utadhihirisha haya ninayokurleza...msichana mwenye malengo na wewe hawezi kucheat kwa kiwango hicho yaani kosa la kwanza mlipoachana akaamua kuzalishwa ...hujakaa sawa baada ya kurudiana anaendeleza kuto...m...b....w.....a na wewe unasema anakupenda na ana malengo na wewe ....kifupi amekuona dhaifu sn ...makosa yake unapoyagundua anajua atakutuliza kwa maneno gani!!! wewe usioe huyu kahaba labda uendelee kumpiga pumbu tu
 
Acha mambo yako mkuu utoto huo, ujakomaa wewe eti? Ndo unaomba na ushauri wakati jibu la swali lako lipo wazi, limeandikwa kwa herufi kubwa na limepigiwa na mstari. Hivi hakuna wanawake wengine mpaka ukomae nae huyo tu? au mdomo mzito huwezi kuwatongoza wengine? ni malaya huyo kwa muda mfifi ameshawachanganya weeengi alafu na wewe ndo unang'ang'ania kama umezaliwa nae. achana nae hakufai tena kwa taarifa yako wala hakupendi na hana hisia na wewe haiwezekani yuko wewe akafu kila akiachana na wewe anakwenda kulala kwa mchizi anamtumia usiku kucha. Hivi wewe una fikra au hauna au una fikra chakavu? ni suala la kumjadiri hilo? mvugumize mwanangu ukimuoa atakupa kichomi cha mapenzi na ugonjwa wa moyo tafuta mcghumba mwingine uishi naye kwa amani. Eti upo dailema ni dailema gani hapo wewe? wewe hapo haupo dailema ila wewe mwenyewe ndo unajiweka dailema, sasa kaaaaa hapo hapo dailema kama umepapenda muoe uwone moto wake.
 
uko mkoa gani?,
Habarini wakuu,

Nina msichana wangu mmoja tulianza nae mahusiano toka 2013, katika maisha ya mapenzi baina yetu kuna kipindi cha kati hapo tukagombana, ikabidi kila mmoja akaendelea na ishu zake.

Sasa yeye mwenzangu katika kipindi hicho tulichoachana akatoka na lijamaa huko akapewa kibendi, Mungu akamjaalia akajifungua mtoto wa kiume. Katika kipindi chote toka alipopata ujauzito jamaa aliyempa kibendi alikataa kuhudumia mpaka mtoto alipozaliwa.

Mara baada ya kujifungua huyu msichana akaanzisha tena mahusiano na jamaa aliyemtoa usichana (huyu siye aliyempa kibendi), katika mahusiano yao sijui kilichoendelea lakini niliskia waliachana.

Katika shida shida za utawala huu wa mjomba magu huyu msichana akanitafuta last year and tuka reconcile so akawamsichana wangu tena. Tatizo lilikuja alipotaka nimuoe, mimi sikuwa na tatizo sema kama mtu ninaejielewa ikabidi nifanye uchunguzi (sikutaka kuingia kichwakichwa kwenye ishu za ndoa) kama hana mchepuko huko alipo na ndio hapo nilipojua anatoka na lijamaa lake la zamani.

Ushahidi nilikuwa nao wa kutosha kuanzia messages hadi baadhi ya siku huwa anaenda kulala kwa mchizi, sasa nilipo mconfront kama najua anamchepuko na najua huwa analala kwa mchizi baadhi ya siku msichana alinijia juu kwa maneno mengi akataka tuachane, tatizo sikuwa na nia ya kumuacha ilikuwa tuongee tuyamalize lakini mwenzangu akawa analazimisha tuachane, sasa katika marumbano mimi nikaona isiwe tabu tukapigana chini.

Sasa cha kushangaza jioni yake baada ya kuachana akanitumia message kuniomba msamaha kwa alivyokuwa ananijibu na hataki tuachane kwa hasira, nikamwambia nimemsamehe.

Sasa hapa nipo dilema maana msichana nampenda na yeye ana feelings nasema hivi kwa sababu tunakaa mikoa jirani na kila nikiwa na shida naye nikimpigia aje kesho jua lazima atatia maguu gheto, sijawahi kumwambia aje akazingua au akagoma au akaleta kisingizio cha kutokuja.

Na hata kesho nikimwambia aje huku nilipo atakuja ingawa tumeachana, tatizo hataki kukiri makosa yake na hataki hata kusikia ushahidi niliokuwa nao.

Naombeni ushauri wakuu nimpotezee kimoja au niwe mvumilivu nishee na mchizi?
 
Kwahiyo kipimo chako ni aje na yeye anakileta??wajinga nyie wote wawili
 
Huwa sipend maneno makali lakini leo nina ushauri huu MZURI kwako;
ua,kama huwezi basi tia jeraha;

Back
Top Bottom