Naombeni ushauri: Msichana wangu ana mchepuko

Labda ni Mimi tu ndio niliyegundua kwamba kwa hiyo dem basi mchepuko ni huyu mleta mada
 
Unatafuta maumivu kwa lazima,kama ni demu wa kawaida sawa ila mke hafai mkuu,atakusumbua na utajuta,suala la Mke siyo mchezo,kuwa makini huyo hakufai,ni dhahiri hajatulia
 
Duuh asee eti ana feel yaan mtu amezalishwa haya hiyo sio shida umekuta na mawaailiano ya mchepuko
Bado anakuambiana muachane anadhubutu sema ivo halafu bado unawaza kuomba ushauri!
Mapenzi banah
 
Habarini wakuu,

Nina Demu wangu mmoja mtoto wa Kitanga tulianza nae mahusiano toka 2013, katika maisha ya mapenzi baina yetu kuna kipindi cha kati hapo tukagombana, ikabidi kila mmoja akaendelea na ishu zake.
Sasa yeye mwenzangu katika kipindi hicho tulichoachana akatoka na lijamaa huko akapewa kibendi, Mungu akamjaalia akajifungua mtoto wa kiume. Katika kipindi chote toka alipopata ujauzito jamaa aliyempa kibendi alikataa kuhudumia mpaka mtoto alipozaliwa.

Mara baada ya kujifungua huyu demu akaanzisha tena mahusiano na jamaa aliyemtoa usichana (Huyu siye aliyempa kibendi), katika mahusiano yao sjui kilichoendelea lakini niliskia waliachana.

Katika shida shida za utawala huu wa Mjomba magu huyu demu akanitafuta last year and tuka reconcile so akawa demu wangu tena. Tatizo lilikuja alipotaka nimuoe, mm sikuwa na tatizo sema kama mtu ninaejielewa ikabidi nifanye uchunguzi (sikutaka kuingia kichwakichwa kwenye ishu za ndoa) kama hana mchepuko huko alipo na ndio hapo nilipojua anatoka na lijamaa lake la zamani.

Ushahidi nilikuwa nao wa kutosha kuanzia messages hadi baadhi ya siku huwa anaenda kulala kwa mchizi, sasa nilipo mconfront kama najua anamchepuko na najua huwa analala kwa mchizi baadhi ya siku demu alinijia juu kwa maneno mengi akataka tuachane, tatizo sikuwa na nia ya kumuacha ilikuwa tuongee tuyamalize lakini mwenzangu akawa analazimisha tuachane, sasa katika marumbano mi nikaona isiwe tabu tukapigana chini. Sasa chakushangaza jioni yake baada ya kuachana akanitumia message kuniomba msamaha kwa alivyokuwa ananijibu na hataki tuachane kwa hasira, nikamwambia nimemsamehe.

Sasa hapa nipo Dilema maana demu nampenda na yeye ana feelings nasema hivi kwa sababu tunakaa mikoa jirani na kila nikiwa na shida naye nikimpigia aje kesho jua lazima atatia maguu gheto, sjawahi kumwambia aje akazingua au akagoma au akaleta kisingizio cha kutokuja.

Na hata kesho nikimwambia aje huku nilipo atakuja ingawa tumeachana, tatizo hataki kukiri makosa yake na hataki hata kusikia ushahidi niliokuwa nao.

Naombeni ushauri wakuu nimpotezee kimoja au niwe mvumilivu nishee na mchizi?
Mlisamhehana mkarudiana halafu kwenye sentensi yako ya mwisho umesema mumeachana.... Sikiliza Mkuu wambili hawezi kuvaa moja. Kwa hiyo huyo ameshazoea kuwa na wanaume zaidi ya wawili hivyo kama nikukubalia kumuoa kubali kwa kuwa hawezi tosheka na Dushelele moja na mbaya zaidi alishakuona kwake huwezi kutoa mguuu....
 
....unaweza ukawa wewe ndio sababu ya yeye kuchepuka. Jitafakari.......tusilaumu tu upande mmoja.
 
Mkuu mkenge huo hakuna mke hapo. Unataka kuoa mke anayetombe**a kiasi hicho akuzalie watoto si wako? STUKA! Piga kona ulale mbele.

Habarini wakuu,

Nina Demu wangu mmoja mtoto wa Kitanga tulianza nae mahusiano toka 2013, katika maisha ya mapenzi baina yetu kuna kipindi cha kati hapo tukagombana, ikabidi kila mmoja akaendelea na ishu zake.
Sasa yeye mwenzangu katika kipindi hicho tulichoachana akatoka na lijamaa huko akapewa kibendi, Mungu akamjaalia akajifungua mtoto wa kiume. Katika kipindi chote toka alipopata ujauzito jamaa aliyempa kibendi alikataa kuhudumia mpaka mtoto alipozaliwa.

Mara baada ya kujifungua huyu demu akaanzisha tena mahusiano na jamaa aliyemtoa usichana (Huyu siye aliyempa kibendi), katika mahusiano yao sjui kilichoendelea lakini niliskia waliachana.

Katika shida shida za utawala huu wa Mjomba magu huyu demu akanitafuta last year and tuka reconcile so akawa demu wangu tena. Tatizo lilikuja alipotaka nimuoe, mm sikuwa na tatizo sema kama mtu ninaejielewa ikabidi nifanye uchunguzi (sikutaka kuingia kichwakichwa kwenye ishu za ndoa) kama hana mchepuko huko alipo na ndio hapo nilipojua anatoka na lijamaa lake la zamani.

Ushahidi nilikuwa nao wa kutosha kuanzia messages hadi baadhi ya siku huwa anaenda kulala kwa mchizi, sasa nilipo mconfront kama najua anamchepuko na najua huwa analala kwa mchizi baadhi ya siku demu alinijia juu kwa maneno mengi akataka tuachane, tatizo sikuwa na nia ya kumuacha ilikuwa tuongee tuyamalize lakini mwenzangu akawa analazimisha tuachane, sasa katika marumbano mi nikaona isiwe tabu tukapigana chini. Sasa chakushangaza jioni yake baada ya kuachana akanitumia message kuniomba msamaha kwa alivyokuwa ananijibu na hataki tuachane kwa hasira, nikamwambia nimemsamehe.

Sasa hapa nipo Dilema maana demu nampenda na yeye ana feelings nasema hivi kwa sababu tunakaa mikoa jirani na kila nikiwa na shida naye nikimpigia aje kesho jua lazima atatia maguu gheto, sjawahi kumwambia aje akazingua au akagoma au akaleta kisingizio cha kutokuja.

Na hata kesho nikimwambia aje huku nilipo atakuja ingawa tumeachana, tatizo hataki kukiri makosa yake na hataki hata kusikia ushahidi niliokuwa nao.

Naombeni ushauri wakuu nimpotezee kimoja au niwe mvumilivu nishee na mchizi?
 
Hii hatari mpaka apo bado unahitaj ushauri? Wanawake wapo wengi sana
 
Wewe unachompendea huyo demu ni kwasbb anakusaidia ukiwa na minyege yako siku ukipata kicheche kingine utamsahau!
 
Una moyo mkuu! Hizo kilometa nyingi mno aiseeeh
 
Back
Top Bottom