Naombeni ushauri mpenzi wangu ameniblock kwenye namba zote na nikimpigia kwa simu nyingine hapokei!

Ooooooh
Makubwa haya.. nilitegemea nawe utaandika upo na mmoja tangu. Sioni kama nina la kupendezwa nalo zaidi ya biashara kusikiliza.
Mie sio mmoja huyo mpaka leo. Nitakudanganya.

Sio vizuri kudanganya hata haipendezi.
 
Naomben mnishauri nilikuwa na mpenz nimekaa naye miaka minne kwanzia nikiwa first year had nahitimu, yeye alikuwa certificate. Ila sas amebadilika sana ananiumiza sana akili! Kwa sabab nampenda sana! Japo hakuna anayejua nyumban kwa wazaz hata mmja zaid sana anajua geto kwangu! Hvi majuz tumekosana nikamuomba msamaha akanisamehee, akaja kunikosea na yeye akavizia wakat sipo akaja geto akaanza kufua na kuniletea vest kisha akaniomba msamahaa! Baada ya hapo ameanza kuchange anakasirika bila sababu nikimpigia sim anakuaa na haraka ya kukata! Kwa sas anauza duka la mtu na mm ninafundisha ! Nimemuomba aje auze duka langu hatak! Juz aliniambia nataka kwenda kanisan kwenye mkesha ila kwa sabab ya kuwa amebadilika nikamwambia kawadanganye watoto! Maana jana yake nilimwambia nimuone akaniambia amenyimwa na mwajiri wake iweje kesho yake aniambia anaenda mkesha! Mm nikamwambia kawadanganye watoto! Jana amechange kabsa anasema tuna mapenz ya kitto ya kuchungana na bora tuachane! Nikamwambia nisamehee hatak nimempgia simu usiku kucha hapokei leo nimempigia mchana kutwa akaniblock! Na sim ya mtu mwngine hapokei! Naomben ushauri wapendwa hapo nifanyaje? Wakat nampenda sana na nilimpromis mwez wa tatu nimlipie arudie mtihani wa form four koz ya certificate yakre ni mbov anaogopa kuomba kazi kwa sabab ya matokeo yake! Nishaurin wapendwa maana nimepgwa block na namuomba sana Mungu amrudishe kwangu!

Sent from my iPhone using JamiiForums
Unasoma kidato cha ngapi boya wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha ku date na watoto,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom