Naombeni ushauri mpenzi wangu ameniblock kwenye namba zote na nikimpigia kwa simu nyingine hapokei!

Nsam

JF-Expert Member
Oct 25, 2018
212
286
Naombeni mnishauri nilikuwa na mpenzi nimekaa naye miaka minne kwanzia nikiwa first year had nahitimu, yeye alikuwa certificate ila sasa amebadilika sana ananiumiza sana akili

Kwa sababu nampenda sana! Japo hakuna anayejua nyumban kwa wazazi hata mmoja zaidi sana anajua geto kwangu hivi majuzi tumekosana nikamuomba msamaha akanisamehee, akaja kunikiosea na yeye akavizia wakat sipo akaja geto akaanza kufua na kuniletea vest kisha akaniomba msamahaa! ,

Baada ya hapo ameanza kuchange anakasirika bila sababu nikimpigia sim anakuaa na haraka ya kukata! Kwa sasa anauza duka la mtu na mimi ninafundisha ! nimemuomba aje auze duka langu hataki juzi aliniambia nataka kwenda kanisani kwenye mkesha ila kwa sababu ya kuwa amebadilika nikamwambia kawadanganye watoto..

Maana jana yake nilimwambia nimuone akaniambia amenyimwa na mwajiri wake iweje kesho yake aniambia anaenda mkesha! mimi nikamwambia kawadanganye watoto! jana amechange kabsa anasema tuna mapenzi ya kitto ya kuchungana na bora tuachane! Nikamwambia nisamehee hataki nimempgia simu usiku kucha hapokei.

Leo nimempigia mchana kutwa akaniblock! na simu ya mtu mwngine hapokei! naomben ushauri wapendwa hapo nifanyaje? Wakati nampenda sana na nilimpromis mwezi wa tatu nimlipie arudie mtihani wa form four koz ya certificate yake ni mbovu anaogopa kuomba kazi kwa sababa ya matokeo yake! nishaurini wapendwa maana nimepigwa block na namuomba sana Mungu amrudishe kwangu!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Pole sana mlikosana nn mana ni ngumu kutoa matibabu bila kujua unaumw nn.

Aise demu anapenda kwenda club! Nikamwambia mm club noo hutaenda ! Ila alivonambia anaenda chach nikwambia hapan nam nataka niende na ww nikaenda naye kwanzia hapo akaniona mm namlea simuamn ananimbia namuona mtoto

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
ndio mara yako yakwanza kupenda????
Aise demu anapenda kwenda club! Nikamwambia mm club noo hutaenda ! Ila alivonambia anaenda chach nikwambia hapan nam nataka niende na ww nikaenda naye kwanzia hapo akaniona mm namlea simuamn ananimbia namuona mtoto

Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Qwy

Achana nae kabisa huyo, kama kwenye mahusiano habadiliki bado anaenda clubs na ww hupendi basi moja kwa moja hamuendani.

Tafuta mwingine unaependezwa nae, usje jilazimisha ukamuoa eti atabadilika aise nikwambie utajuta utakuwa unatoa milio tu kama ya sumsung.
Heri umtose japo utaumia lakin yatapita.

Naomben mnishauri nilikuwa na mpenz nimekaa naye miaka minne kwanzia nikiwa first year had nahitimu, yeye alikuwa certificate. Ila sas amebadilika sana ananiumiza sana akili! Kwa sabab nampenda sana! Japo hakuna anayejua nyumban kwa wazaz hata mmja zaid sana anajua geto kwangu! Hvi majuz tumekosana nikamuomba msamaha akanisamehee, akaja kunikosea na yeye akavizia wakat sipo akaja geto akaanza kufua na kuniletea vest kisha akaniomba msamahaa! Baada ya hapo ameanza kuchange anakasirika bila sababu nikimpigia sim anakuaa na haraka ya kukata! Kwa sas anauza duka la mtu na mm ninafundisha ! Nimemuomba aje auze duka langu hatak! Juz aliniambia nataka kwenda kanisan kwenye mkesha ila kwa sabab ya kuwa amebadilika nikamwambia kawadanganye watoto! Maana jana yake nilimwambia nimuone akaniambia amenyimwa na mwajiri wake iweje kesho yake aniambia anaenda mkesha! Mm nikamwambia kawadanganye watoto! Jana amechange kabsa anasema tuna mapenz ya kitto ya kuchungana na bora tuachane! Nikamwambia nisamehee hatak nimempgia simu usiku kucha hapokei leo nimempigia mchana kutwa akaniblock! Na sim ya mtu mwngine hapokei! Naomben ushauri wapendwa hapo nifanyaje? Wakat nampenda sana na nilimpromis mwez wa tatu nimlipie arudie mtihani wa form four koz ya certificate yakre ni mbov anaogopa kuomba kazi kwa sabab ya matokeo yake! Nishaurin wapendwa maana nimepgwa block na namuomba sana Mungu amrudishe kwangu!

Sent from my iPhone using JamiiForums
Aisee pole bora utafute tu mwingine maana nguvu utayotumia kumweka sawa huyo anyooke afuate instructions ni kubwa mno.
 
Rahisi sana,pitisha siku 3 bila kumtafuta utaona mwenyewe anakupigia. Unajua mwanamke akishajua unampenda lazima aoneshe maringo na kuvimba kichwa. Mpotezee atakutafuta mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana Mkuu. Kaa zungumza nae kwa kirefu na chambua hayo mazungumzo uone kama bado Ni mtu sahihi kwako, na kama siye, basi bora uachane nae mapema, mwanzo utaumia maana najua unampenda ila vumilia tu utazoea, wanawake wapo wengi tu na wapo wanaojitambua na kujiheshimu na kujua nini maana ya mapenzi na upendo wa dhati kutoka kwa yule anaempenda. Usije Fanya kosa ukaingia pia katika ndoa na mtu asie sahihi ambae kaonesha dalili za kutokuwa mwaminifu na mvumilivu kwa kipindi hiki kichanga kabisa maana utakufa siku si zako Mkuu.
 
Ubarikiwe kaka ndo maan nimeleta wazo! Nashurkur san

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom