mwang ww oa maan nmke wakoNina mpenzi Ila bado hatujafunga ndoa sababu bado naendelea na masomo, tumeishi pamoja mda mrefu sana kwaiyo tabia zake nazijua sana, ni mchamungu na ana hofu ya Mungu, Ananipenda sana hata sasa hawezi kukaa saa bila kunitafuta,
Kuna cku akiwa ametoka chuo alibakwa na kupewa ujauzito, nliumia sana kwani alikuwa analia sana na nlipenda familia yangu niipange maisha yangu yakinyooka yani Nkishaajiriwa, hatutaki kutoa kwasababu ni dhambi pia ntakuwa nimemwingiza matatizoni kiafya,
Nawaza jinsi ya kulea na itakuwaje cku nkimpeleka nyumban kwetu kwamba ndiye nliyempenda,
Ushauri wenu jamani,
Mkuu kwani aligongewa kitandani?Kitanda hakizai haramu, endelea kumpenda na kumsitiri, leeni huyo mtoto bila kujali watu watasemaje.
Ukimwacha atabeba maumivu yakuachwa na kubakwa, so ataumia zaidi
We kama unampenda muoe tu huyo mtoto iwe kama bonusNina mpenzi Ila bado hatujafunga ndoa sababu bado naendelea na masomo, tumeishi pamoja mda mrefu sana kwaiyo tabia zake nazijua sana, ni mchamungu na ana hofu ya Mungu, Ananipenda sana hata sasa hawezi kukaa saa bila kunitafuta,
Kuna cku akiwa ametoka chuo alibakwa na kupewa ujauzito, nliumia sana kwani alikuwa analia sana na nlipenda familia yangu niipange maisha yangu yakinyooka yani Nkishaajiriwa, hatutaki kutoa kwasababu ni dhambi pia ntakuwa nimemwingiza matatizoni kiafya,
Nawaza jinsi ya kulea na itakuwaje cku nkimpeleka nyumban kwetu kwamba ndiye nliyempenda,
Ushauri wenu jamani,
Mkuu ww kua naye tuu ,usimwache kisa kubakwa ,,ilo mbona jambo dogo tuu kubali mtot awe wako tuu huwez jua bhanaNina mpenzi Ila bado hatujafunga ndoa sababu bado naendelea na masomo, tumeishi pamoja mda mrefu sana kwaiyo tabia zake nazijua sana, ni mchamungu na ana hofu ya Mungu, Ananipenda sana hata sasa hawezi kukaa saa bila kunitafuta,
Kuna cku akiwa ametoka chuo alibakwa na kupewa ujauzito, nliumia sana kwani alikuwa analia sana na nlipenda familia yangu niipange maisha yangu yakinyooka yani Nkishaajiriwa, hatutaki kutoa kwasababu ni dhambi pia ntakuwa nimemwingiza matatizoni kiafya,
Nawaza jinsi ya kulea na itakuwaje cku nkimpeleka nyumban kwetu kwamba ndiye nliyempenda,
Ushauri wenu jamani,
Nyumbani kwenu utasemaje jibu ni mimba yako si Umeandika umeishi nae japo hainiingii akilini hii story yakoAhsante sana, na nyumban ntasemaje, kama wakijua ana mtoto
Kua ka mtot wa kiume !! Kwan huwez sema ni mwanao huyo?Ahsante sana, na nyumban ntasemaje, kama wakijua ana mtoto
Kam hivo sawa ila jaribu kuchunguza zaidi je?ni kwelibalibakwa au ilikuwa kuna mawasiliano huko nyuma kabla yakoN mtu mmoja na magonjwa nimepima hajapata ugonjwa wowote,
Acha kuingiza uislamu kwa mambo ya zinaa kwa hiyo una mshawishi akauwe kiumbeKwa imani ya dini ya kiislamu sio dhambi kutoa mimba iliyopatikana kwa mazingira hayo
🤣🤣🤣Una mjua vizuri mwanamke mwenye hofu na mungu kwanza hawezi kuzini kabla ya Ndoa mtu umeishi nae halafu unampa asilimia nzote.Ndiyo, namjua vizuri sana Hana tabia hatarishi