Nina mpenzi Ila bado hatujafunga ndoa sababu bado naendelea na masomo, tumeishi pamoja mda mrefu sana kwaiyo tabia zake nazijua sana, ni mchamungu na ana hofu ya Mungu, Ananipenda sana hata sasa hawezi kukaa saa bila kunitafuta,
Kuna cku akiwa ametoka chuo alibakwa na kupewa ujauzito, nliumia sana kwani alikuwa analia sana na nlipenda familia yangu niipange maisha yangu yakinyooka yani Nkishaajiriwa, hatutaki kutoa kwasababu ni dhambi pia ntakuwa nimemwingiza matatizoni kiafya,
Nawaza jinsi ya kulea na itakuwaje cku nkimpeleka nyumban kwetu kwamba ndiye nliyempenda,
Ushauri wenu jamani,