EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,709
- 35,702
FULL STORI TUSHAISIKIA SAAANA, NJOO NA NYINGINE
Mmmh... Mtu mmoja??? aisee hakuna jambo kama hiloo...N mtu mmoja na magonjwa nimepima hajapata ugonjwa wowote,
Nina mpenzi Ila bado hatujafunga ndoa sababu bado naendelea na masomo, tumeishi pamoja mda mrefu sana kwaiyo tabia zake nazijua sana, ni mchamungu na ana hofu ya Mungu, Ananipenda sana hata sasa hawezi kukaa saa bila kunitafuta,
Kuna cku akiwa ametoka chuo alibakwa na kupewa ujauzito, nliumia sana kwani alikuwa analia sana na nlipenda familia yangu niipange maisha yangu yakinyooka yani Nkishaajiriwa, hatutaki kutoa kwasababu ni dhambi pia ntakuwa nimemwingiza matatizoni kiafya,
Nawaza jinsi ya kulea na itakuwaje cku nkimpeleka nyumban kwetu kwamba ndiye nliyempenda,
Ushauri wenu jamani,
Habari hizo na kubakwa ndugu zake wanajua??? Vipi aliembaka yupo wapi??? Kafunguliwa kesi???Hunielewi, an cyo kwamba nimeishi naye chumba kimoja, hapana, ni kwamba tumeishi karibu you tuu tangia wadogo, na cjawah toka naye kimwili sababu Mimi mwenyewe Nina hofu ya Mungu, alibakwa akiwa ametoka chuo akirudi nyumban mana alikuwa anakaa kwa Dada yake baada ya Baba yake kufariki






You are living in the isolated world.. Nahisi upo pluto mzeee maana una mawazo ya kizamani mnooo yani zamani kuliko zamani yenyewe..Sawa mkuu, Ila kibinadam c rahisi lakini kama umecmama kiimani huwezi ona sababu ya Kushindwa kujizuia kufanya mapenzi kabla ya ndoa







bhasi kaa ukijuaa Umetombe...waa yani Bilaa chengaa...
Ndiyo, cwezi sababu naelewa madhara yake, zaidi ya kufanya agano unazidi jiweka mbali na Mungu,
Chai ya kifalaa sanaa aisee... Najuta hata kuchangia mamaee zake fwalaa huyuuYaani alikuwa bikra, akabakwa na kupewa mimba siku hiyo hiyo.
Na wewe ukiwa kwenye mitihani unazima simu mwezi mzima mpaka mitihani iishe..!
Hahahahahhh, hii chai haina sukari
Kua ka mtot wa kiume !! Kwan huwez sema ni mwanao huyo?
Siku hizi wanaume wamelegea hatari
wewe sio wotee... Tupo wakakamavu wenye shughulii hasaa
Falaa sana huyuu nyauHahahaa sema jamaa anatunywesha chai haina hata sukari









Nimechangia kwa mzuka kumbe ujingaa tuuKamwe usije mwamini mwanamke maisha ni mwakoSawa labda nikubali, mana tumetoka mbali, na kuna cku nlimjaribu, alikunywa sumu, alijua cmjali kutokana na tatizo lake ndipo nlipothibitisha
Yaani alikuwa bikra, akabakwa na kupewa mimba siku hiyo hiyo.
Na wewe ukiwa kwenye mitihani unazima simu mwezi mzima mpaka mitihani iishe..!
Hahahahahhh, hii chai haina sukari
Mngese huyuFalaa sana huyuu nyauNimechangia kwa mzuka kumbe ujingaa tuu
Acha kudanganya doctors we are here what kind of investigation doneN mtu mmoja na magonjwa nimepima hajapata ugonjwa wowote,
Hahahaha jini anaogopa kugongwa na gari!muvi la naijeria.. Jini anavuka barabara kwenye zebra