Mmmh! Mhhhh!!??? Mbona itakuwa kama dogo anatafuta makuu?Saa nane usiku??? Je, itasomekaje hapo endapo mwamba akataka kum-naniliuu? Ushauri huo ni wenye mashaka makubwa mno. Bora asifanye hivyo aisee. Ni hatari sana.Swala dogo Sana! Mfate mida ya saa nane usiku gonga mlango wake jitambulishe kwajina lako analokufaham akitoka mwambie nimekuja sijapenda kukusumbua unitafute! Hakufanyi chochote asipojibu Mfate tena mida Ile Ile usiku fululiza mara 3! Utakuja kunishukuru
Ondoa mashaka na wasiwsi kabisaaaa Hana ishu huyo watu wa michezo tunajua!Mmmh! Mhhhh!!??? Mbona itakuwa kama dogo anatafuta makuu?Saa nane usiku??? Je, itasomekaje hapo endapo mwamba akataka kum-naniliuu? Ushauri huo ni wenye mashaka makubwa mno. Bora asifanye hivyo aisee. Ni hatari sana.
Ni kama wale panya road tu huwa hawangojei sababu ndio wakudhuru usiseme hivyo mkuu dunia hii ina watu wa ajabuHapa Kuna paragraph umeruka..wavuta bangi sio watu wa hovyo hivyo...kweli Wana mentality za kihuni .ila kukumind bila sababu BIG NO.
Mchukulie RB na umwambie kabisa hata kama ukijikwaa wewe mwenyewe bahati mbaya atawajibika au main suspect atakuwa ni yeyeWakuu kwema.
Nimekuwa nikiishi kwa amani sana mpaka pale nilipoenda kupanga mtaani,
Kuna mpangaji mgeni ila inaonekana yeye ni mwenyeji hapa mtaani , ni mvutaji bangi mkubwa mno, utulivu hakuna.
Juzi natoka zangu kampas nakuta mtu kanisubiri akisema nimeiba kitu chake ambacho hata mimi sikijui kwakweli,
Kaukuza ugomvi anasumbua sana.
Nasasa kasema atanifanya kitu kibaya kwakweli amekuwa akinitishia sana, ukizingatia pia jamaa ana magenge ya wavuta bangi wenzake, na wala huwezi kuzungumza naye akakuelewa anapiga kelele tu.
Wakuu naombeni msaada wa kimawazo, sijawahi kutishiwa hivi, Siwezi kuhama kwasababu nimelipa kodi ya miezi nane pia sina hela. Siwezi kuishi nahofia usalama wangu hivi
Hahahahaaa! Wee unataka dogo ajibebeshe mwenyewe kesi. ?Nunua toy lile linalofanana kabisa na mguu wa kuku ,lichomeke kwa suruali upandishe kidogo tshit ili lionekane makusudi, halafu jipitishe kwa kujiamini mbele yake bila kumsemesha chochote.
Sawa POT 😁😁Hahahahaaa! Wee unataka dogo ajibebeshe mwenyewe kesi. ?
1. Kujifanya anamiliki silaha i.e. analeta Taharuki miongoni mwa Jamii, anazusha jambo la Uongo lisilo la Kweli.
2. Kumtishia Uhai wa maisha huyo mvuta bangi.
BTW: Kesi zinazohusu silaha na umilikaji wake huwa ni ngumu na zinachukua muda mrefu tena hazina dhamana.
Watakuja kujua ilikuwa ni toy wakati dogo ameshasota kwa muda mrefu mahabusu au wanaweza kubamdilishia kibao ikaonekana ilikuwa ni silaha kweli. UsiwaUderestimate Polisi na wala Usiwatie Majaribuni.
Kabisa. Hoja ya kumripoti Polisi labda ndo iwe ni ya mwisho kabisa kabisa i.e. kama Chaneli zingine zote zimefeli.Yaap tena unapodeal namvuta Bangi jua unadeal na chizii lolote anakufanyia, imagine unampeleka police kwa kukufokea hapo week tatu zilizopita alipelekwa kwa tuhuma za kubaka/kukaba pengine,police watachukulia poa then Jamaa akitoka anakuonesha show zake🤣🤣
Labda kahisi umemchukuli dem wake .Wakuu kwema.
Nimekuwa nikiishi kwa amani sana mpaka pale nilipoenda kupanga mtaani,
Kuna mpangaji mgeni ila inaonekana yeye ni mwenyeji hapa mtaani , ni mvutaji bangi mkubwa mno, utulivu hakuna.
Juzi natoka zangu kampas nakuta mtu kanisubiri akisema nimeiba kitu chake ambacho hata mimi sikijui kwakweli,
Kaukuza ugomvi anasumbua sana.
Nasasa kasema atanifanya kitu kibaya kwakweli amekuwa akinitishia sana, ukizingatia pia jamaa ana magenge ya wavuta bangi wenzake, na wala huwezi kuzungumza naye akakuelewa anapiga kelele tu.
Wakuu naombeni msaada wa kimawazo, sijawahi kutishiwa hivi, Siwezi kuhama kwasababu nimelipa kodi ya miezi nane pia sina hela. Siwezi kuishi nahofia usalama wangu hivi
Ni ushauri mzuri pia.Bhana, Polisi wana mambo mengi. Wanaweza kuanza kukugeuza ww ni ATM yao, wanaweza kukuharibia zaidi na jambo hilo likachukua sura mpya kabisa likakufanya ww uwe ndo unawindwa na wasiojulika kila siku. Hebu fanya hivi: Watafute marafiki zake huyo mvuta bangi e.g. ukimpata ambaye ni boda itakuwa ni nzuri zaidi, halafu uwe na urafiki nao. Watakusaidia sana na mtaa utaupenda.
Kwani shida iko wapi, jamaa kashasema hataki ugomvi unataka nimshauri niniYan ww na mtoa mada wote watoto wamama hunakosa kwann uhonge pesa kama siyo umama na uzaifu huo nyie ndo mnagongewa mademu zenu kizembe sana