Gusa achia twende kwao
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 916
- 1,031
Ww ni mwanafunzi ,tuanzie hapoWakuu kwema.
Nimekuwa nikiishi kwa amani sana mpaka pale nilipoenda kupanga mtaani,
Kuna mpangaji mgeni ila inaonekana yeye ni mwenyeji hapa mtaani , ni mvutaji bangi mkubwa mno, utulivu hakuna.
Juzi natoka zangu kampas nakuta mtu kanisubiri akisema nimeiba kitu chake ambacho hata mimi sikijui kwakweli,
Kaukuza ugomvi anasumbua sana.
Nasasa kasema atanifanya kitu kibaya kwakweli amekuwa akinitishia sana, ukizingatia pia jamaa ana magenge ya wavuta bangi wenzake, na wala huwezi kuzungumza naye akakuelewa anapiga kelele tu.
Wakuu naombeni msaada wa kimawazo, sijawahi kutishiwa hivi, Siwezi kuhama kwasababu nimelipa kodi ya miezi nane pia sina hela. Siwezi kuishi nahofia usalama wangu hivi
Mpeleke kwa mapolifisiemWakuu kwema.

Huyo anataka um-boost kidogo. Hana salio. Je, umwewahi kumwuliza kimtego anataka sh. ngapi yaishe? Usishangae akisema buku tano (5,000) inatosha.Hataki mazungumzo ya amani, wala sio msikilzaji , huwezi kuongea naye kirafiki akakusikiliza.
Bhana, Polisi wana mambo mengi. Wanaweza kuanza kukugeuza ww ni ATM yao, wanaweza kukuharibia zaidi na jambo hilo likachukua sura mpya kabisa likakufanya ww uwe ndo unawindwa na wasiojulika kila siku. Hebu fanya hivi: Watafute marafiki zake huyo mvuta bangi e.g. ukimpata ambaye ni boda itakuwa ni nzuri zaidi, halafu uwe na urafiki nao. Watakusaidia sana na mtaa utaupenda.Kama hataki kuongea na wewe ni vizuri kutoa taarifa Polisi.
Una hoja. Inafaa wakusikilize.Ukishindwa kuelewana na mvuta bangi jua wewe ndio mkuda
Safi kabisa. Huu👆 👆 ni ushauri wa kiutu-Uzima zaidi. Kukimbilia Polisi ni suluhisho la muda mfupi sana na baadaye jambo hili hili litarejea tena kwa ukali zaidi.Mtumie mtu Aongee nae, ikiwezekana mnunulie hicho kitu chake kipya muyamalizee hata kama hujachukua,then unadisconnect ukaribu nae ni salamu kwa Amani basii. Vitaa huiweziii wew nikikugrade,ukimpeleka police atatoka tu ndoo kitawakaa zaidi.Tumia akili kulimaliza.
Inawezekana manake wanasema "Mjini Shule".Huo labda mchongo wa mwenye nyumba, keshakula hela yako anataka uhame alete mwingine aendelee na huo mchezo.
Bongo hakuna magenge ya wahuni,hao wote warembo tuu, ungekuwa south Africa ndio ungejua nini maana ya magenge ya wahuni na wahuni wenyeweWakuu kwema.
Nimekuwa nikiishi kwa amani sana mpaka pale nilipoenda kupanga mtaani,
Kuna mpangaji mgeni ila inaonekana yeye ni mwenyeji hapa mtaani , ni mvutaji bangi mkubwa mno, utulivu hakuna.
Juzi natoka zangu kampas nakuta mtu kanisubiri akisema nimeiba kitu chake ambacho hata mimi sikijui kwakweli,
Kaukuza ugomvi anasumbua sana.
Nasasa kasema atanifanya kitu kibaya kwakweli amekuwa akinitishia sana, ukizingatia pia jamaa ana magenge ya wavuta bangi wenzake, na wala huwezi kuzungumza naye akakuelewa anapiga kelele tu.
Wakuu naombeni msaada wa kimawazo, sijawahi kutishiwa hivi, Siwezi kuhama kwasababu nimelipa kodi ya miezi nane pia sina hela. Siwezi kuishi nahofia usalama wangu hivi
Yes. Dogo anasumbuka bure ilhali naye anaweza kujiwekea mkakati wa kujinasua na wavuta bangi. Umempa akili - alifanyie kazi halafu ikimpendeza alete mrejesho hapa.Wavuta bangi huwa wanaangalia mtu. Ameona labda wewe ni mpole, laini na mwoga ndiyo maana anakutishia lengo umpe pesa hana lolote huyo.
Tuliokaa uswahilini tunawajua hao! Wanataka ukiwakuta kujiweni unawapa hai, oya washkaji vipi! Buku la fegi hilo! Ndiyo furaha yao. Hata urud saa sita usiku hawakuteki! Utawasikia! Mwanetu huyu! Sasa wewe umeenda kukaa uswahilini mtoto wa kishua! Kama hauwezi kujipendekeza kwao, basi unatakiwa uvae uso wa mbuzi mpige mkwara asikuzoee. Kakamaa! Pia, kama unaweza tafuta marafiki wa muda polisi au wajeda kadhaa, siku moja uwende nao pale kwako mjifanye kama ni marafiki ili ajue kuwa akizingua unamletea noma
kakuona mnyongemnyonge mtoto wa mama atakusumbua sana huyo mkiambiwa wekeni miili yenu sawa kama wanaume hamuelewi muda wote mnachelea tiktok hamna ratiba za mazoeziWakuu kwema.
Nimekuwa nikiishi kwa amani sana mpaka pale nilipoenda kupanga mtaani,
Kuna mpangaji mgeni ila inaonekana yeye ni mwenyeji hapa mtaani , ni mvutaji bangi mkubwa mno, utulivu hakuna.
Juzi natoka zangu kampas nakuta mtu kanisubiri akisema nimeiba kitu chake ambacho hata mimi sikijui kwakweli,
Kaukuza ugomvi anasumbua sana.
Nasasa kasema atanifanya kitu kibaya kwakweli amekuwa akinitishia sana, ukizingatia pia jamaa ana magenge ya wavuta bangi wenzake, na wala huwezi kuzungumza naye akakuelewa anapiga kelele tu.
Wakuu naombeni msaada wa kimawazo, sijawahi kutishiwa hivi, Siwezi kuhama kwasababu nimelipa kodi ya miezi nane pia sina hela. Siwezi kuishi nahofia usalama wangu hivi
Ndiyo haswaa. Si unakumbuka enzi zile jinsi form 2 walivyokuwa wanawahenyesha bulling Form1 wapya (new comers kwa maneno a.k.a. Nyuka/Njuka/Nyoya n.k. kwa vitisho na mikwara "huja wahi kunywa maji ya Sekondari ww Njuka n.k.? Kumbe ilikuwa ni kukuchangamsha au kukutoa ushamba.Teh,Teh, tehh ..Ukute huyo ndio tabia yake hio ya kukugeuza mnyonge wake
Sasa atajua alikuwa hajui.kakuona mnyongemnyonge mtoto wa mama atakusumbua sana huyo mkiambiwa wekeni miili yenu sawa kama wanaume hamuelewi muda wote mnachelea tiktok hamna ratiba za mazoezi