KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 20,081
- 40,709
Huyo jamaa hana hiyo back up anakutishia tu....... mwanaume wa kweli hana vita ya maneno ikiwa ana uwezo wa kufanya tukio......Huyo jamaa ni mvuta bangi na ana magenge yake sasa hapo mkuu nakaaje na amani
Mtoto wa single mother huyu kakulia kwa kudekezwa kimama ngoja anyooshwe kwanzaAnayefanya jambo hasemi.......
Stand your ground as man......
Hivyo ndivyo dunia ilivyo....utashtaki wangapi.......
Huyo jamaa amekuleta kwenye dunia ya wanamume.....na ili uwe mwanaume lazima uivuke mitihani ya kiume......
Kaa kiume kaa tayari kwa mapambano....usiruhusu nafsi ya woga kujenga mizizi kwenye kifua chako.....
Dunia ni katili sana kwa wanaume waoga na wazembe.......
tayariMpe ushauri ndugu mtoa mada.
So wavuta bangi wanapenda hela kama wadada tu au nakosea..?Solution 2:
Mvuta bhangi ni miongoni mwa watu wanaopenda hela.
Toboka Teni tuu mambo yatakaa sawa mpe mshikaji
Hajui kuwa hakuna anayekubali kuwa nyuma ya mwanamume muoga na mwenye hofu.......bali wale washindi na wapambanaji.......Mtoto wa single mother huyu kakulia kwa kudekezwa kimama ngoja anyooshwe kwanza
Unyama, me nishamwambia wavuta bangi sio wakorofi sana bhana. Ampe teni tu basitayari
Mvuta bangi anapokea hata jeroSo wavuta bangi wanapenda hela kama wadada tu au nakosea..?
Sawa mkuu , shukraniUnyama, me nishamwambia wavuta bangi sio wakorofi sana bhana. Ampe teni tu basi
KinondoniNi maeneo gani hayo uliyopanga chumba?
Yan ww na mtoa mada wote watoto wamama hunakosa kwann uhonge pesa kama siyo umama na uzaifu huo nyie ndo mnagongewa mademu zenu kizembe sanaSolution 2:
Mvuta bhangi ni miongoni mwa watu wanaopenda hela.
Toboka Teni tuu mambo yatakaa sawa mpe mshikaji
Ungekuwa wewe ungefanyaje mkuu, maana nikianza ugomvi nitatoka kwenye focus namimi nahitaji suluhu ya kudumu.Hajui kuwa hakuna anayekubali kuwa nyuma ya mwanamume muoga na mwenye hofu.......bali wale washindi na wapambanaji.......
Ukiitaka amani huwezi kuipata,dawa ya moto ni moto,ni bora usiogope chochote,maana kama jamaa ana nia ovu kwako hofu,wasiwasi na kuhangaika kwako hakubadilishi kitu, cha muhimu usiogope chochote ikiwa unajuwa hukumfanya ubaya wowote.Nataka amani tu
Acha kulia Lia wewe....nenda nunua bastola ya plastic...mwambie mkutane mkikutana iweke kiunoni...mwambie nimekuja tuongee ulichokuwa unasema kama wanaume kisha nyanyua mabega kidogo aione. Hata kusumbua tena.Wakuu kwema.
Nimekuwa nikiishi kwa amani sana mpaka pale nilipoenda kupanga mtaani,
Kuna mpangaji mgeni ila inaonekana yeye ni mwenyeji hapa mtaani , ni mvutaji bangi mkubwa mno, utulivu hakuna.
Juzi natoka zangu kampas nakuta mtu kanisubiri akisema nimeiba kitu chake ambacho hata mimi sikijui kwakweli,
Kaukuza ugomvi anasumbua sana.
Nasasa kasema atanifanya kitu kibaya kwakweli amekuwa akinitishia sana, ukizingatia pia jamaa ana magenge ya wavuta bangi wenzake, na wala huwezi kuzungumza naye akakuelewa anapiga kelele tu.
Wakuu naombeni msaada wa kimawazo, sijawahi kutishiwa hivi, Siwezi kuhama kwasababu nimelipa kodi ya miezi nane pia sina hela. Siwezi kuishi nahofia usalama wangu hivi
Wewe una fanya shughuli gani mpaka uhisiwe mwizi? yaani kwanini katika wapangaji wote ahisi wewe ndio mwizi?Hataki mazungumzo ya amani, wala sio msikilzaji , huwezi kuongea naye kirafiki akakusikiliza.
acha uoga weweNataka amani tu
Usitishike na maneno yake wewe endelea na mambo yako.....usimjibu wala kujibizana naye.....ukikutana naye muache aongee na usiondoke mpaka amalize kuongea lakini usioneshe hofu wala woga........Ungekuwa wewe ungefanyaje mkuu, maana nikianza ugomvi nitatoka kwenye focus namimi nahitaji suluhu ya kudumu.