KERATO MOMBAA
JF-Expert Member
- Feb 4, 2025
- 3,368
- 4,280
Ni ukweli kabisa mkuumkuu vijana wetu Kuna sehem tunakosea kuwaongoza au Kuna shida kwenye jamii'?
Hasa tunakoelekea ni pabaya sana
Ni ukweli kabisa mkuumkuu vijana wetu Kuna sehem tunakosea kuwaongoza au Kuna shida kwenye jamii'?
kunatishaaNi ukweli kabisa mkuu
Hasa tunakoelekea ni pabaya sana
Umetutajia umri wako ila umri wake hujataja ukinitajia umri wake nitakupa ushauri wenye mashiko ila angalizo km amevuka miaka 21 narudia km amevuka miaka 21 na amefika au amevuka miaka 30 na anakupa hayo majibu jitafakari mara 4 kabla hujachukua hatua na maamuzi ya kumuoa... hapo hakuna mkeNa nikimsaidia kwa mfano hela ya vocha au 50,000 ananambia iyo hela sio hela hata, muuza vitumbua anaweza mpa demu wake. Vipi wakuu nioe hapa?
Vipi wee mabinti zako baadae hapo hutawapeleka chuo?Nikishasikiaga demu katoka chuo na stim za mapenz hukata mda huohuo!, shida wanapenda kuishi maigizo ya kijinga kuliko uhalisia!, nilikuwaga na kichomi cha ivo nilipiga chini chap tu!, kile kilikuwa kinaenda kuniua kabisa nisingekuwepo mda huu, bora hawahawa wa lasaba B hawana mambo mengi.
😂😂😂😂😂Demu wa chuo ni sawa na kumiliki gari BMW sensor kibao na usumbufu wa kila namna, wakati hawa wa kidato cha 4 au lasaba ni sawa na Toyota chuma ni kuteleza tu stress chache na linatunzika na kuvumilia mikikimikiki.
Chuo kinawaharibu wengi wachache wanapona ila wengi wanaharibika... mifano ni mingi ingawa sipingi mabinti kupelekwa Chuoni.. anaenda Chuo akiwa na bikra anarudi kapoteza bikra zoteVipi wee mabinti zako baadae hapo hutawapeleka chuo?
Je ndugu zako wa kike nao wasiende chuo??
Tena fanya haraka sana umuoe,huyo ndiye anayekufaaMimi ni kijana wa miaka 30, nilikutana na Binti Mmoja tukiwa chuo, miaka ya nyuma kidogo.. nikawa na namba yake, lakini nilimtomgonza, miezi Sita iliyopita akakubali, na nikamwambia nataka kumuoa. Ila sasa toka kipindi icho amekuwa akinilazimisha niende kwao kutoa posa na mahari. Tunaishi mikoa tofauti..
Tukiwa tunakutana simu yake anaweka password, hataki niishike.
Kuna siku niliishika. Nikakuta meseji anachati na wanaume, wengine wanamwambia waonane anakubali, wengine anawabebisha anawaomba na hela. Na Kuna mwingine yupo mkoa Mmoja, huyu mwanamke wangu alikuwa anamwambia atasafiri kwenda huko, waonane.
Na nikimsaidia kwa mfano hela ya vocha au 50,000 ananambia iyo hela sio hela hata, muuza vitumbua anaweza mpa demu wake. Vipi wakuu nioe hapa?
Nini maana yake.Chuo kinawaharibu wengi wachache wanapona ila wengi wanaharibika... mifano ni mingi ingawa sipingi mabinti kupelekwa Chuoni.. anaenda Chuo akiwa na bikra anarudi kapoteza bikra zote
RUN.FOR.YOUR.LIFE.Mimi ni kijana wa miaka 30, nilikutana na Binti Mmoja tukiwa chuo, miaka ya nyuma kidogo.. nikawa na namba yake, lakini nilimtomgonza, miezi Sita iliyopita akakubali, na nikamwambia nataka kumuoa. Ila sasa toka kipindi icho amekuwa akinilazimisha niende kwao kutoa posa na mahari. Tunaishi mikoa tofauti..
Tukiwa tunakutana simu yake anaweka password, hataki niishike.
Kuna siku niliishika. Nikakuta meseji anachati na wanaume, wengine wanamwambia waonane anakubali, wengine anawabebisha anawaomba na hela. Na Kuna mwingine yupo mkoa Mmoja, huyu mwanamke wangu alikuwa anamwambia atasafiri kwenda huko, waonane.
Na nikimsaidia kwa mfano hela ya vocha au 50,000 ananambia iyo hela sio hela hata, muuza vitumbua anaweza mpa demu wake. Vipi wakuu nioe hapa?
Mdogo wangu sikia, huyu hakufai, anatamaa, japo anaweza kua kwenye stress za kuolewa so anategesha kwa kila anayemtongoza,il anakae muoa ndio ataulie, ila kwa kitendo cha kudharau hela yako, hapo ww kimbia mbio.Mimi ni kijana wa miaka 30, nilikutana na Binti Mmoja tukiwa chuo, miaka ya nyuma kidogo.. nikawa na namba yake, lakini nilimtomgonza, miezi Sita iliyopita akakubali, na nikamwambia nataka kumuoa. Ila sasa toka kipindi icho amekuwa akinilazimisha niende kwao kutoa posa na mahari. Tunaishi mikoa tofauti..
Tukiwa tunakutana simu yake anaweka password, hataki niishike.
Kuna siku niliishika. Nikakuta meseji anachati na wanaume, wengine wanamwambia waonane anakubali, wengine anawabebisha anawaomba na hela. Na Kuna mwingine yupo mkoa Mmoja, huyu mwanamke wangu alikuwa anamwambia atasafiri kwenda huko, waonane.
Na nikimsaidia kwa mfano hela ya vocha au 50,000 ananambia iyo hela sio hela hata, muuza vitumbua anaweza mpa demu wake. Vipi wakuu nioe hapa?
umeoa lini mkuuHuyo ndie mke sahihi kwako, mm mwnyw mke niliyenaye sasa alikuwa hvy hvy ila baada ya ndoa tunaishi maisha ya haki na amani tele 😎
Kuna masimp wapumbavu hata kuwashauri ni kupoteza muda tu. Kwenye hii mission ya kusambaza injili ya redpill lazima tukubali kuna wapumbavu wengine watagoma kutoka utumwani.Natafuta Ajira chief hebu mpe nondo kidogo bwana muoaji