MD SPECIAL
JF-Expert Member
- Jul 4, 2025
- 1,161
- 2,810
izo pesa za kupeleka chuo bora niwajengee msingi mapema niwape vitegauchumi viwaingizie pesa waanze kujitegemea mapema pasipo kusumbuliwa na ajira uchwara izi manyanyaso kila siku kazini.Vipi wee mabinti zako baadae hapo hutawapeleka chuo?
Je ndugu zako wa kike nao wasiende chuo??